Huyo binti ana macho kama panzi. Yaani baba yao kaharibu kabisa watoto.
Kweli suala la kupendeza ni pana sana. Mbona sijaona chochote au kwasababu amekaa chini? Its true the beauty is on the hands of the beholder!
mmh.....hii ikiwa na maana kwamba.....?Nyumba ya udongo haipigwi deki