Binamus na Wapwaz-Nawatakia Heri ya Xmass na Mwaka Mpya 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binamus na Wapwaz-Nawatakia Heri ya Xmass na Mwaka Mpya 2011

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Regia Mtema, Dec 23, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Wapwaz na binamuz wote.Ni matumaini yangu kuwa wote mko salama na wengine wako mapumzikoni/ baada ya safari ndefu ya mwaka mzima.Mwaka ndio unaelekea ukingoni naamnini wengi tumejifunza mengi kwa mwaka unaoisha.Mwaka huu nimebahatika kufahamaniana na wapwaz na binamuz wengi kupitia jukwaa hili,wengine tumeonana ana kwa ana,wengine tunawasiliana kwa simu hivyo tunafahamiana kwa sauti tu.Wengine pia tunafahamiana kwa njia ya posts na mawasiliano mengine.Zaidi ya kufahamiana wengine tumekuwa very good friends and am happy for that. Ulikuwa mwaka mzuri kwangu!!!

  Basi nipende kuchukua fursa hii kuwatakia heri ya xmass na mwaka mpya 2011 uliojaa mafanikio na matumaini bora.

  Merry Xmass and Happy New year!!!

  Always With love
  Regia
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Heri na kwako pia muheshimiwa.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kiranga naye ni mpwazz na binamuzz?
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Merry X-mass to you too and enjoy this festive season peacefully

  Uje mjini upate champagne na wewe......
   
 5. k

  kitangakinyafu Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ww ndiye mbunge wa CHADEMA au jina tu??
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  unauliza ufisadi CCM?
   
 7. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Asante sana Jaluo
   
 8. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  heri ya x mass muheshimiwa......dereva umepata? nina class c
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,468
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Ndugu
  Hebu acha utoto wakati fulanifulani hasa kwa watu wazima....ukiwa na watoto wenzio ruxa....
   
 10. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  heri ya x-mass na wewe pia..
   
 11. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #11
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Acid,nimetoka mjini muda mfupi uliopita..Nitakutafuta kesho,hiyo champagne ni non alcoholic?mi situmii ile nyingine..
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Regia kila la heri muheshimiwa nasi tunakutakia sikukuu njema wewe na familia yako my dear
   
 13. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2010
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Merry xmas to u too dada mheshimiwa
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sawasawa mkuu
   
 15. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Uwe na xmass ya Baraka na mwaka mpya wa mafanikio
   
 16. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Ningefurahi kama ningeona pm yako ya ukaribisho wa xmas!!maana ukianika hapa watajaa ila kwakuwa kupanga nikuchagua heri ya xmas naomba nikukaribishe xmas Kama utakuja pm!
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mh nitakuwa pale Mbega Resort Kibaoni nikibariki pombe! Bila shaka utapitia kulipa bill zetu mh!

  Heri ya Krisimasi na Mwaka mpya, Awija mama
   
 18. RR

  RR JF-Expert Member

  #18
  Dec 24, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Asante bi. regia!

  karibu wine ya ndizi, huku pande za milimani..
   
 19. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #19
  Dec 24, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,826
  Likes Received: 1,995
  Trophy Points: 280
  Asante Mhe. Regia
  Kwenye mihangaiko yangu nilipita kule kwako aisee unakubalika muno. Nway kwa mujibu wa babu dark city nakutakia sikukuu na mapumziko yenye AMANI, FURAHA NA RAHA
   
 20. AIZAK

  AIZAK Member

  #20
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Select capable men from all the people--men who fear God, trustworthy men who hate dishonest gain--and appoint them as officials over thousands, hundreds, fifties and tens. (Exod 18.21,) ninaimani wewe pia ni chaguo la bwana wa majeshi,mungu akuangazie dada yangu regia nakuwa na amani ya bwana katika sikukuu hii ya krismass. mungu awabariki wote.ahsanteni
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...