prophet_tz
Senior Member
- Feb 14, 2022
- 176
- 301
Binafsi mtu akiandika hivyo vi shortcut au umkute dem Ana changanya harufi L na R stimu zina kata gafla .. haijalishi umriMkuu sio kosa lako, ukiona hivyo ujue umri unakutupa mkono.
Hizo wao kwa sasa ndio swaga zao, kikubwa tafuta wakubwa wenzio achana na hao watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app