Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,785
Kwa upande wangu sioni tatizo kumuongezea Raisi wetu vpnd vya kuongoza lkn ili tufike huko ni lazima Raisi husika athibitishe kweli anastahili hilo na kwa Raisi wetu Magufuli ingawaje yuko vizuri na anakwenda vizuri lkn bado kwa maoni yangu hajafikia pale ambapo sasa tunapaswa kusema tubadilishe Katiba yetu!
Labda tutaliona hilo kuanzia kipindi chake cha pili, ila kwa sasa bado ni mapema mno, ingawaje trajectory yake ni nzuri sana mpaka sasa, ...
Labda tutaliona hilo kuanzia kipindi chake cha pili, ila kwa sasa bado ni mapema mno, ingawaje trajectory yake ni nzuri sana mpaka sasa, ...