Binafsi siamini ni kweli Tanasha na Mondi wameachana

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,576
18,894
Kwa upande wangu nimekuwa ngumu kuamini Tanasha na Mondi wameachana kwasababu hakuna strong reason ya kuachana kwao kwa wanaoeneza hizo tetesi. Huwezi kusema inaonekana wameachana eti kwasababu Tanasha ameunmfollow Diamond na familia yake kwani insta ndio maisha?

Nimeuzunishwa na wapambe wa Diamond especially wa mtandaoni kumshambulia kwa matusi na kejeli Tanasha ambao baadhi yao walikuwa wanamsifia kweli kweli hivi kwa mfano ikabainika hawajaachana sura zao wataziweka wapi?

Hivi unaanzaje kumtukana mtu wa aina ya Tanasha ambaye ni mpole Hana bifu na mtu.

external-content.duckduckgo.com.jpg
 
Mkuu vipi tena na wewe upo kwenye ushoga?

20200304_101238.jpg
20200304_101302.jpg
20200304_101213.jpg
 
Kwa upande wangu nimekuwa ngumu kuamini Tanasha na Mondi wameachana kwasababu hakuna strong reason ya kuachana kwao kwa wanaoeneza hizo tetesi. Huwezi kusema inaonekana wameachana eti kwasababu Tanasha ameunmfollow Diamond na familia yake kwani insta ndio maisha?

Nimeuzunishwa na wapambe wa Diamond especially wa mtandaoni kumshambulia kwa matusi na kejeli Tanasha ambao baadhi yao walikuwa wanamsifia kweli kweli hivi kwa mfano ikabainika hawajaachana sura zao wataziweka wapi?

Hivi unaanzaje kumtukana mtu wa aina ya Tanasha ambaye ni mpole Hana bifu na mtu.

Huwa tunawaambia wekeni mahaba ya kupenda artist kutoka kwenye mitima yenu....
 
Mond shida ya sio nwanamke shida yake ni mtoto na u maarufu ndio maana haanzishi mahuasiano na mwanamke asie maarufu kumbukeni alianzia kwa Wema, akaenda kwa Zari Uganda, akaenda kwa Mobeto na baadae kenya kwa tanasha nae anaachana nae ataenda Rwanda au Burundi au Congo, au Zambia, Nigeria, Msumbiji au Somalia na Ethiopia anachataka yy mond apate umaarufu kwa haraka na bila jasho sana maana unapokuwa na mahusiano na mwanamke maarufu automatically na wale wafuasi ama wapenzi wa yule mwanamke tayar wanahamia kwako pia wanakuwa mashabika wako kwa iyoo huo ndo ujanja wa Mond ni Jinias sana huyu kijana yuko smart , kama kuna mtu haamini haya nisemayo ipo siku mtaayaamini tunzenu huu uzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom