VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Kama unapenda movie angalia ile ya jamaa mmoja ambaye baadae alikuja kuajiriwa na FBI " catch me if You can " utajua nina maanisha nini.
Mkuu naomba usilinganishe mlima na kichuguu...., Jamaa wa kwenye Catch me if you can alikuwa anatumia ujanja na utapeli (Conning) ili kufanikisha sio njia anazotumia Rostam Please lets call a Spade a Spade..., Rostam anatumia pesa kuonga na anatumia Greedy ya viongozi wapenda 10% tofauti na huyu jamaa wa kwenye Catch me if you can was a master forger...., jamaa ilibidi mpaka mwisho wa siku FBI wamwite ili aweze kuwasaidia kushika wizi..., and nobody alijua extent ya wizi wake mpaka baadae..., tofauti na huyu bwana everyone knows...., "Weakness ya Serikali yetu kushindwa kumshika isiwe kigezo cha kusema jamaa hashikiki... please...., Give me a Break.. hata NdumilaKuwili alikuwa more creative katika wizi wake...