Binafsi Namkubali Sana Rostam Aziz na sina chuki naye! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binafsi Namkubali Sana Rostam Aziz na sina chuki naye!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rich Dad, Jan 27, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kila siku ukiangalia mada zinazorushwa hapa JF dhidi ya Rostam Aziz zinalenga zaidi kwenye chuki. Imepelekea hadi baadhi ya watu kusahau kwamba huyu jamaa ni mwanadamu kama tulivyo sisi. Wengi wametoa proposal ya kumuua wakidhani ndo suluhu ya ufisadi hapa nchini, na wengine wamediriki kumu-associate na scandals ambazo hata hakuna proof kwamba ni jinsi gani huyu jamaa alivyo facilitate.

  Binafsi naona watanzania badala ya kutibu maradhi kwa kutambua ile root cause tunakimbilia kutibu dalili (symptoms). Hivi hujawahi kujiuliza maswali kwamba endapo ikitokea leo hii tunapata taarifa zenye kuthibitishwa ya kwamba Rostam Aziz na washirika wake wameuwawa, Je, ndo itakuwa mwisho wa ufisadi hapa nchini??? La hasha nachelea kusema ndo itakuwa mwisho wa ufisadi hapa nchini. Hiyo itakuwa ni temporary relief na Akina Rostamu wengine wengi tu wataibuka endapo tutaendelea kubakia na mfumo dhaifu wa kiutendaji.

  Binafsi ninamkubali sana huyu jamaa msomi naesikia ni graduate wa havard university na ambaye baadhi ya watanzania wanadai sio raia. Endapo itakuja kudhibitika ya kwamba the guy was behind EPA, Kagoda, Meremeta, Richmond, Dowans etc nitazidi kuwa inspired na huyu jamaa. Na mpaka sasa ninamuona huyu jamaa ni zaidi ya ma-professor wangu walionifundisha kule university, ni zaidi ya madaktari, ma-engineer,lawyers ...na ni zaidi ya wataalamu wote kwenye sector yeyote uijuayo hapa Tanzania.

  The other way around ni kwamba sisi watanzania ndo tunaojiroga, haiwezekani tunaendelea kupalilia na kuumwagilia maji mfumo ambao tunaujua ni wa kishenzi kwa miaka yote huku tukiishia kusemasema pembeni bila kuchukua hatua.
  Kwangu mimi Katiba ndo suluhu wa yote.
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  kakulipa bei gani aisee.....
   
 3. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba unielimishe jinsi gani katiba mpya inatatua tatizo la rushwa nchini?
   
 4. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  read between lines na utajua ninamaanisha nini.
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  kumbe na wewe umepita chuo
   
 6. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kumbe ni TETESI yaani hata wewe mwenyewe huna uhakika kama unamkubali au Haumkubali
   
 7. c

  chelenje JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulaaniwe na wewe, ikibidi ulogwe!!
   
 8. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  well drafted Katiba mpya itashinikiza restructuring ya nafasi mbalimbali za viongozi wetu ngazi za juu ikiweno nafasi ya
  rais, hii itakwenda sambamba na dilution ya power walizonazo viongozi wetu. Pia ita-narrate uhuru wa kuhoji baadhi ya mambo. Vile vile ile mihimili mitatu ya nchi itarudishiwa nguvu zake stahiki
   
 9. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  si tetesi na ninajua hiki ni kitu kisichopendwa kusikilizwa na wana JF wengi lakini ukweli utabaki palepale.
   
 10. s

  shosti JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Zomba kaja kivinge hahahahahahah:clap2:
   
 11. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kama hiyo ndo suluhu endelea kuombea. Ipo siku huo uchawi utampata RA pamoja na mimi, na ufisadi utaisha nchini!
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  What type of University did you go chum?.....
   
 13. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo mkuu unataka kusema mlango ukisahaulika kufungwa hata kama ilikuwa makusudi na zaidi ya mara moja, jambazi likakomba kila kitu tena zaidi ya mara moja you will end up being inspired by that jambazi????????????

  No wonder why gongo haipandi bei!
   
 14. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  endeleaaaaaaaaaa tu kumkubali........:clap2::clap2::clap2:
   
 15. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,989
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe hapo penye nyekundu.

  Tunamuonea RA bure wakati sisi ndio tunaowabeba vibaraka wake kwa kuendelea kuwaweka pale Magogoni!
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Simkubali hata kidogo..., If really angekuwa genious angefanya kama kina Bill Gates, Rockefellar, Richard Branson to name just a few...,

  Jamaa ametumia greedy ya viongozi wetu ili kuweza kula nao sahani moja jasho letu, hii sio mtu kuwa clever but its just daylight robbery.

  Morally his wealthy inasaidia wangapi...? angalau angeiba akashusha viwanda nchini vya kuleta ajira basi ningemuona wa maana

  UKWELI NI KWAMBA HE IS PART OF THE PROBLEM YEYE PAMOJA NA HAO WENZIE WOTE (VIONGOZI WETU)
   
 17. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Umeandika vizuri sana hongera kwa hilo na ili mwana JF aelewe inabidi asome maana ya ulichokieleza sio nini kinachoelezwa, tatizo ni mfumo wetu wa utawala!!! Najua wengi watakupinga kwa jinsi ulivyoi-present mada.... sasa ongeza juhudi ili watu waelewe tunakotakiwa ku-focus ili kutibu tatizo lililopo na kuzuia lisijirudie tena......
   
 18. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye nyekundu ndo panapotakiwa kufanyia kazi! kwa nini mlango ulisahaulika kufungwa???? na Huyo jambazi alijuaje mlango uko wazi??? hawezi kuota tu kwmba mlango uko wazi!
   
 19. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yeah nakubaliana na wewe lakini sikubaliani na hili la kumkumbali jambazi! Two different issues!
   
 20. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu nashukuru kama umepata point yangu! tutalalama hadi kufikia pahala tunapoteza focus........tunapambana na adui tusiemjua! imagine Rostam Aziz amekufa leo!!! akiibuka mwingine nae tutaendelea kumshambulia??? Kumbuka Usipoziba ufa......
   
Loading...