Binadamu wanazidi kuchanganyikiwa siku baada ya siku

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,465
2,000
Hivi binadamu wa siku hizi kuna nini kinatokea? Nimenotice serious cases ambazo ukizifikiria unaweza ukadhani tunabadilika kua mbuzi mdogo mdogo..

Angalia case ya kwanza: New York kikundi kimoja kimefungua kesi mahakamani wakiomba nyani apewe haki sawa na binadamu, pamoja na kwamba wameshindwa kesi mara ya kwanza wanakomaa na bado wanataka kwenda kufanya appeal kesi ipelekwe mahakama nyingine.. Huu si utaira huu?
Chimpanzee personhood effort fails first legal tests in New York - CNN.com

Case ya pili: Atheists (Wasioamini uwepo wa Mungu) huko Oklahoma, wanataka waweke monument ambayo itakua ni ya umtukuza shetani itakayowekwa pembeni ya ile monument ya Amri kumi za Mungu wakilalamika kua USA haina maswala ya dini basi kama wameruhusu ile iwepo then pembeni yake wakiweka hii ya shetani nayo hamna shida na wameandaa design yao Satanists seek spot on Oklahoma Statehouse steps

Case nyingine: Maswala ya Ushonga, mabinti kusagana, watu kujiua ishakua utadhani kipindi cha taarifa ya habari cha ITV.
Movie za superheroes zinadanganya watu wanaanza kufanya meditation kuexperience vitu kama Astroprojection, wakidhani ni sayansi ya kawaida, na tena imerahisishwa siku hizi unaingia youtube unapata binaural beat inaoactivate chakra zote ndani ya 15min mtu huyo kafungua jicho la tatu anajiona safi kumbe mchawi.. Na hizi case ni serious maana zimekua in millions sasa

Ukiangalia yote haya, hivi dunia inaelekea wapi? Naona kweli sisi special, hapa kwa ubaya wanyama wengine tumewapita mbali kinoma...
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,604
2,000
Ukiwaangalia dada zetu wanavyotembea uchi bado tunaendelea kujiuliza hivi hayo nayo ni maendeleo kweli? hivi huu uchizi ndo kipimo kwamba sasa binadamu anapiga hatua katika maendeleo?
 

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,375
2,000
Dah mkuu hii sredi yako nzito sana aiseee, nafikiri ungeomba ipelekwe kule intelligence au Great Thinkers tuichangie kwa umakini kabisa, huku huchelewi kuambiwa "weka picha"

Nitrudi kuchngia hilo la MEDITATION aiseee
 

Chujio

JF-Expert Member
Jun 17, 2013
804
1,000
nimependa signature yako... "Binadamu kaumbwa ampende binadamu mwenzake na atumie vitu, lakini Binadamu hupenda vitu alafu humtumia binadamu mwenzake, afu ukisikia dunia imechafuka unashangaa, jibu huna ni kwa nini?"
 

kipulumus

Member
Nov 27, 2013
70
0
Mungu alisema ya ache magugu ya kue pamoja na ngano sasa magugu ya na pitiliza ngano ,,,,nacho ona tupigwe kiberiti kama sodoma na gomola to renew dunia kizazi hiki cha chura kiende zake
 

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,465
2,000
Ukiwaangalia dada zetu wanavyotembea uchi bado tunaendelea kujiuliza hivi hayo nayo ni maendeleo kweli? hivi huu uchizi ndo kipimo kwamba sasa binadamu anapiga hatua katika maendeleo?
Naona tunarudi enzi za stone age ile unatembea umejizungusha na ka nguo kamoja tu, ila tatizo ni tofauti iliyopo, enzi zile ilikua poa tu kutembea hivo maana nguo hamna, siku hizi ni kama upgraded version vile, ukitembea hivo unawamaliza vijana wanaokuangalia, maadili sio kabisa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom