Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,076
Pole yake
Nalog off
Nalog off
Hivi ulivyovitaja vyote vinaliwa mkuu ila wewe tu ndiye hauviliUharamu wa nguruwe upo kwenye kuliwa tu, kuwa si mnyama wa kula, kama tu hatuwezi kula kunguru, hatuwezi kula paka, hatuwezi kula vyura.
Ila sio kwamba kama moyo wake ni tiba usitumike hapo ni mapenzi ya mtu binafsi ila maelekezo ni kuwa mnyama huyo sio chakula, kama tu ambavyo kenge sio chakula
Sasa hayo ni maoni yako, sio yangu, mimi najua haliwi, nimeelekezwa hivyo, yani nyama yake ni sawa na nyama ya mbwa, wapo wanaoila ila hivyo ndivyo nilivyofundishwa kuionaHivi ulivyovitaja vyote vinaliwa mkuu ila wewe tu ndiye hauvili
Nalog off
Hata mbwa kuna watu huwala hivyo si Shangai nguruweUsiseme sio chakula coz usipokula wewe kuna watu kwao ni chakula
Hiiiii!!Hakuna uharamu wa nusu nusu, kitu either ni kibaya au ni kizuri
Basi sawaSasa hayo ni maoni yako, sio yangu, mimi najua haliwi, nimeelekezwa hivyo, yani nyama yake ni sawa na nyama ya mbwa, wapo wanaoila ila hivyo ndivyo nilivyofundishwa kuiona
Kitu kikishakua haramu basi uharamu wake unabeba kila kitu kinachotaka nahiyo haramu huwez kujinufaisha nacho kwa kisingizio hicho.Uharamu wa nguruwe upo kwenye kuliwa tu, kuwa si mnyama wa kula, kama tu hatuwezi kula kunguru, hatuwezi kula paka, hatuwezi kula vyura.
Ila sio kwamba kama moyo wake ni tiba usitumike hapo ni mapenzi ya mtu binafsi ila maelekezo ni kuwa mnyama huyo sio chakula, kama tu ambavyo kenge sio chakula
Mwache tatizo kichwa jaman.Mpaka hapo kwamba ameweza kuishi miezi miwili tayari ni hatua.Watatafiti wajue nn kilisababisha afe wakikipatie suluhu ndo tayari inakuwa tiba kamili.Wewe ndo umepotea kabisa na yaweza kuwa ni mbumbumbu kwa kukosa elimu au hujawahi pata changamoto hapa duniani au kichwa chako badala ya kubeba ubongo wewe unakitumia kubebea mafenesi
Mgunduzi na aligefanya upasuaji ni Muisilamu na Team yake pia wengi ni waisilamu na kabla ya kutelekeza hili jambo pia wameuliza kwa scholars mbalimbali, kidini haijakatazwa.Ningeshangaa sana km angedumu Mungu hajaribiwi
Kama wewe hutumii usilazimishe kila mtu awe kama ww......japo siku ukipata roast na ndizi hata imani yako utaikanaUharamu wa nguruwe upo kwenye kuliwa tu, kuwa si mnyama wa kula, kama tu hatuwezi kula kunguru, hatuwezi kula paka, hatuwezi kula vyura.
Ila sio kwamba kama moyo wake ni tiba usitumike hapo ni mapenzi ya mtu binafsi ila maelekezo ni kuwa mnyama huyo sio chakula, kama tu ambavyo kenge sio chakula