Binadamu wa kwanza duniani kuwa Mtanzania, kwanini hatujawahi kuitawala dunia?

usiamini historia
watakwambia binadamu wa kwanza alikua nyani
ila muulize yeye babu yake wa babu yake alikua nyani ataanzisha ugomvi
hahahaha
kwa hiyo tunafundishwa uongo mkuu?
maana ukimfuatilia huyo nyani utaambiwa alianza kuwa samaki.
kwa hiyo binadamu tumetokana na sato au kambale. hahaha
 
Katika somo la historia shule ya msingi na sekondari tunaambiwa binadamu wa kwanza alianzia hapo A-Town.

Kwa nini watanzania tumeshindwa kuitawala Dunia yetu?

Tumezidiwa ujanja wapi na hawa wazungu?

Nawaza kioldivai gourge zaidi.

Siyo kweli na hata kama ingekuwa ni kweli huyo Binadamu siyo mzao wetu kwani sehemu kubwa yetu hili eneo tunaloishi siyo asili yetu tulihamia ktk Afrika Magharibi huko, hapa kwetu walikuwa wanaishi Wahandzabe na Wakhoisan!
 
Uchaguzi ujao CCM teuweni kichwa kama JK, hapo ndo tutaitawala dunia. Si unaona JK ndo alikuwa kishakuwa mshauri wa marais wote Africa? ukiitawala Africa umetawala dunia, ndo maana Trump kamuomba Rais wa Nigeria ampigie debe Africa ili US i-host kombe la dunia 2026. Africa ni kila kitu.
 
nakubaliana na wewe mkuu.
wakazi wa Muda wote hapa kwetu ni Wahadzabe na wasandawe.
hawa jamaa tumeshindwa vipi kushirikiana nao watupe ujanja tutawale dunia, maana mababu zao ndio wenyeji wa kwanza kabisa hapa duniani kwa Mujibu wa hayati dokta liki na mambo ya carbon 14.
 
Walishakufa wote na waliobaki walishachanganyika hakuna 100% tena!
 
hapana mkuu. wapo.
hata juzijuzi walikuwa wanahojiwa huko maporini maeneo ya katikati ya Tanzania.
wanalalamika wanatengwa, wanaishi kwa kula mizizi na matunda pori.
nashangaa sio wajanja na hawana exposure yoyote je ya porini. hawa walipaswa kutusaidia tuwe kama US au zaidi maana mababu zao kwa mujibu wa historia ya shule ya msingi na sekondari walikuwa vichwa na ndio ma-ancestor wa dunia.
ni mnyama wa kwanza kuwa mjanja duniani alianzia Tanzania baadae kidogo akawa mwanadamu.
hii fulsa imetupitaje mkuu.
 
Najua lkn hao siyo real nimeshafika huko kwanza hata wanajua Kiswahili na Serikali inawapeleka Watoto wa Shuleni wanachanganyika ni kama tu Lowasa snavyojiita Mmasai wakati ukweli ni kwamba Lowasa ni Mbantu na Wamasai siyo Wabantu!
 
usiamini historia
watakwambia binadamu wa kwanza alikua nyani
ila muulize yeye babu yake wa babu yake alikua nyani ataanzisha ugomvi
Hapana hakua nyani kama unavoelewa wewe.....binadamu ni aina ya sokwe ambaye anabadilika kulingana Na mazingira kwa kipindi kilefu .....binadamu wa sasahv ukimtazama ni mdhaifu ukilinganisha Na wamiaka ya mianane huko.....kipindi cha nyuma tulikua tunavaa majani...ilipelekea miili yetu kua Na nywele ili kusaidia ku stili mwili...sasahv tunavaa nguo kwahyo mwili unaendana Na mazingira mkuu ....lakini sokwe original we mvalishe nguo Leo Hata kizazi chake kijacho hakitabadilika ........ni sisi pekeee.....BINADAM NI KIUMBE TOFAUTI SANA NA WENGINE
 
Najua lkn hao siyo real nimeshafika huko kwanza hata wanajua Kiswahili na Serikali inawapeleka Watoto wa Shuleni wanachanganyika ni kama tu Lowasa snavyojiita Mmasai wakati ukweli ni kwamba Lowasa ni Mbantu na Wamasai siyo Wabantu!
kwa hiyo wale jamaa sio orgin au ni wenyewe ila wamechakachuliwa.
wale tunapswa kuwaenzi maana ndio wenye nchi kihistoria.
lkn mkuu, unadhani kama kweli dunia ya sayansi inaamini tanzania ndio ya kwanza kuwa na most civilized mankind au intelligent being lkn bado kwa sasa katika takwimu za dunia tunaonekana vilaza kiuchumi, kiakili,kiexposure na kijamii.
tatizo lilianzia wapi kwa muktadha wa historia ya shule ya msingi na sekondar pamoja na ushahidi wa kiachiolojia.
 
Mkuu kwanza siyo kweli na huyo kwa sasa siyo binadamu wa kwanza wamekwishagundua mabaki mengine Ethiopia ambayo yana miaka zaidi ya huyo wa Tz.
Kuna mengine pia yalipatikana Swissland nayo yana miaka zaidi ya huyo wa Tanzania sema sisi bado tumeshikiria historia ya zamani.
Hivi pia unajua kwamba Christopher Columbus siye aliyevumbua america na wala siye aliyevumbua kuwa dunia ni mviringo?
Historia ina uongo uongo mwingi
 
Hapana hakua nyani kama unavoelewa wewe.....binadamu ni aina ya sokwe ambaye anabadilika kulingana Na mazingira kwa kipindi kilefu .....binadamu wa sasahv ukimtazama ni mdhaifu ukilinganisha Na wamiaka ya mianane huko.....kipindi cha nyuma tulikua tunavaa majani...ilipelekea miili yetu kua Na nywele ili kusaidia ku stili mwili...sasahv tunavaa nguo kwahyo mwili unaendana Na mazingira mkuu ....lakini sokwe original we mvalishe nguo Leo Hata kizazi chake kijacho hakitabadilika ........ni sisi pekeee.....BINADAM NI KIUMBE TOFAUTI SANA NA WENGINE
mkuu mbona nguo zilikuja vijijini kwetu watu wakiwa wanavaa magome lakini hawakuwa na hayo manyoya.
mkuu tunaambiwa yote yalianzia mitaa ya oldvai, tatizo likowapi tumekwama. Huyo sokwe mwelevu huo welevu kwa nini usingeanzia hapa hapa kwetu mkuu.
 
Back
Top Bottom