Binadamu anapomtumia mwenzie kama kitoweo inaashiria nini?

Wickama

JF-Expert Member
Mar 8, 2009
1,466
1,194
Wanajamvi,

Upo ushahidi wa kihistoria kuwa baadhi ya jamii zimewahi kuridhia na kuwatumia binadamu wenzao kama kitoweo Cannibalism - Wikipedia, the free encyclopedia pia kuna matukio yaliyojitegemea ya binadamu mmoja mmoja kuwatumia wenzake kama kitoweo Top 20 Human Cannibals by Country - Listverse. Ni vigumu kuelewa jamii/watu husika wana sababu zipi, wanapata faida gani na desturi husika inaashiria nini.

Hapa kwetu na nchi zilizotuzunguka sijui kama kuna jamii zilizo/zinazo tumia binadamu kama kitoweo. Mwenye habari na hii kitu huku kwetu tafadhali atupe uzoefu
 
Wickama faida ni kuweka shavu au kuzifanya siku ziende. kama wewe tu unapoamua kula mnyama pori. ligobole moja tu latosha. :confused:
 
Good answer tunaishi vile jamii tunazikuta zinaishi

Mkuu, mara nyingi ni rahisi kusikia watu wakiongea na kuweka kauli "..... unajua nyama ya binadamu ina chumvi sana?" ndio kusema hii ni experience ya kweli au wanazuga?

cc Mashaxizo, barafuyamoto
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom