Binadamu anapokuwa na akili zaidi ya alizo nazo

Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
1,107
Huyu jamaa alichofanya ni kitendo ambacho kitaonekana ni cha kishujaa. Lakini akili tulizopewa na Mwenyezi za kutambua mazuri na mabaya huenda zimetuzidi. Ni mtu gani mwenye akili timamu anaweza fanya mchezo huu?.

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=9fOtJi8dL_8"]Mike akicheza na Simba[/ame]


Huyu hapa yeye bahati haikuwa yake kwani alijikuta katika muda usiozidi dakika mbili akiwa vipande vipande. Simba ni simba usimuone mpole ukasema hana madhara tujifunze kuwa akili tulizopewa ni vema kuzitumia ipasavyo

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=SQuLgSj_Lds"]Graphic[/ame]
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom