Binadamu amtafuna binadamu mwenzie uso wote na mbwa.

kajunju

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
999
315
Mtu anayejulikana kwa jina la Iman Paulo wa kijiji cha Muhange, amemtafuna mfanyakazi wake uso wote, pua, macho, maskio na mdomo wote. Aliyetafunwa anaitwa Sununu,baada tendo ili jamaa huyu alimkamata mbwa na kumniga na akala ulimi wa huyo mbwa. Majeruh amelazwa hospitali ya Kibondo.

Paulo Iman anashikiliwa na vyombo vya dola.

Chanzo: Radio kwizera fm
 
hii niimeipata mida hii kutoka radio kwizera, hali ya majeruhi inaendelea vizuri na mtuhumiwa wanataka kumpeleka kupima akili yake na amefungiwa kwenye lock up ya peke yake ili aseje kuwadhuru wengine
 
Wamempa kitoweo kingine huko wanapomshikilia labda wamuweke mahabusu ya peke yake.
 
Duh! mi nikajua ni Mbozi tena!
Mtu anayejulikana kwa jina
la iman paulo wa kijiji cha muhange, amemtafuna mfanyakaz wake uso
wote,pua,macho,maskio na mdomo wote. Aliyetafunwa anaitwa sununu.baada
tendo ili jamaa huyu alimkamata mbwa na kumniga na akala ulimi wa huyo
mbwa.majeruh amelazwa hosp ya kibondo.paulo iman anashikiliwa na vyombo
vya dola. Chanzo; Radio kwizera fm
 
Tungepata wawili au hata watano kama hawa wakaenda kila wizara na pale magogoni, wangetusaidia sana kupunguza tatizo la mafisadi
 
hii habari ya mtu kumtafuna mbwa inatisha na sio tukio la kawaida :confused2:, mbwa angemtafuna mtu ingekuwa hadithi ingine
 
Tungepata wawili au hata watano kama hawa wakaenda kila wizara na pale magogoni, wangetusaidia sana kupunguza tatizo la mafisadi
duh hii kwa mtu aliyetokewa na matatizo haya haijakaa vizuri. Nimeipenda ya kupata vichaa nchini ambao wanawezaenda ikulu na wizara kuwatafuna vichaa. Inaonekana umechoka na system iliyopo ya nyinyiemu.pole sana ila mwisho wao huko karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom