Binaamu tupo tofauti sana... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binaamu tupo tofauti sana...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Boss, Nov 22, 2009.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa nafuatilia huu ujinga wa watu kuheuka
  na kwenda kwa maelfu uwanja wa taifa eti kupiga picha na kombe la dunia....

  Kweli watu tupo tofauti sana...

  Kwenye tv niliona watu na wake zao na watoto wao,
  wengine na wajukuu zao wamefunga safari hadi
  uwanja wa taifa.....

  I mean why mimi niko tofauti na wao???
  Kwa nini mimi naona ujinga mtupu jambo kama hilo?????

  Yaani mimi nifunge safari kwenda kupiga picha na kombe
  la dunia???????aaaaghhhhh???????
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Boss,

  Mimi nilishakwambia jinsi gani hii enterprise ya sports yote ilivyo an irrational exuberance inayotokana na remnants of our neanderthal hunter gatherer past.

  However we try to rationalize it.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hapa bluray kuna tatizo la media pia..
  Chochote kinachotangazwa sana na
  media kinakuwa na nguvu hata
  kama ni ujinga mtupu....
  Maelfu ya watu wanaweza shiriki
  jambo la kipumbavu sababu media
  zimelitangaza kuwa ni jambo la maana.
   
 4. M

  Mende dume Member

  #4
  Nov 22, 2009
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wapendwa dunia sio rational kama mnavyo taka iwe! Mbona hatushangai kuwa mamilioni wanayolipwa, futbolaz huku madaktari wakilipwa kiduchu? hujiulizi kwa nini mtu mwenye B ya economic hata masters BOT anavyolipwa kumzidi prof wa Economics aliye mfundisha!

  au (niwieni radhi akina mama hasa First Lady na wenzio), wakati wanaume ndo wanaoishi muda mfupi duniani- kwa maana ya kufa haraka lakini kampen zote zinaelekeza kulinda akina mama. Why is then killing the men if life is so tough for women? I we killed by starehe and burdani?
   
 5. M

  Mundu JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2009
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ni kukosa kazi za kufanya tu!

  unemployment creates false employment.
   
 6. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  sawa sawa, too much time on peoples' hands, nothing to occupy their time which leads to these kind of silly excitement. Sasa jiulize na Raisi nae?
   
 7. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ukienda nyuma ukirudi mbele, unakuta bado haya yote yanawezekana kwa sababu watu wana mabaki ya u neanderthal.

  Basically unachosema ni kwamba media inachangia kutengeneza mob psychology.Lakini, kama watu wangekuwa rational wangeona kwamba hii ni mob psychology tu, isiyo substance.The fact kwamba watu wanakubali mob psychology isiyo substance ina validate point yangu kwamba watu bado wana u neanderthal na hawafikirii rationally.

  Tatizo ni kwamba hatuna iconoclasts wa kutosha katika media to point this out and lead the people out of this cave.
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nani kasema anataka dunia iwe rational? Kusema kwamba dunia haiko rational sio sawa na kutaka dunia iwe rational.

  Ingekuwa hivyo hata wewe ungeweza kusemwa unasema kwamba unataka dunia iwe rational.
   
 9. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  These are people's priorities kwa hiyo huwezi kusema "too much time on their hands". Ama sivyo hata wewe unayeona kukaa hapa JF ukishambulia ufisadi wanaweza kukwambia the same thing kwamba una "too much time on your hands" instead of kwenda nje ukaangalie world cup unakalia kushinda kwenye internet na kuwa armchair critic day in day out bila suluhisho.
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  false employment?????
   
 11. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Soccer huwa inaondoa machungu ya maisha japo kwa muda mfupi, ni kama beer vile. Waacheni watu wachizike na WC trophy
   
 12. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Na wanaoumia katika soccer ianwazidishia machungu ya maisha.

  Na wanaopoteza muda wa uzalishaji nao inawapunguzia uzalishaji.

  Hii ni escapism tu, sawa sawa na kusema "pombe inapunguza matatizo" wakati ukimaliza mambo yako pale pale. A thinking person should aim at confronting problems, not postponing them.
   
 13. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Wala sio ujinga ni sehemu tu ya burudani na kuenjoy.
   
 14. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nipo nawe kwa 100% it doesn’t bring any sense
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  thank u.
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kabisa.
   
 17. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #17
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nami nawaungeni mkono jobless ndo tatizo ukitaka kuamini hilo kutokee ajali ndogo tu ya wewe na driver mwenzio utashangaa umati wa watu wanajaa sasa unajuuliza jambo haliwahusu lkn wamejazana hawana kazi ya kufanya? kwahiyo hata hili ni kazi hawana
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Mar 22, 2015
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Do you still feel the same way or have you had a change of heart?

  *Btw, you being banned is very uncharacteristic. What happened?*
   
 19. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2015
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,548
  Likes Received: 1,593
  Trophy Points: 280
  haina tofauti,
  na kwenda kuchapisha jina lako ktk kopo la kokakola na kupiga nalo picha...  ni mtizamo tu.
   
 20. Justin Dimee

  Justin Dimee JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2015
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 1,148
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  niki kutaga watu wana bishana kuhusu mpira huwa na ingiwa na buguza sana in short point yako mtoa mada binadamu ni kama vidole vya mkononi hatu wezi kufanana mpaka milele na milele tu tofauti sana .. kushabikia mpira kwangu ndo kitu gani na kichukia mpaka basi .
   
Loading...