Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,106
- 37,641
Mm Mzalendo na TBC ni Channel ya wazalendo km mm
Ndio namjua leo alafu wewe si ndio unajifanyaga unaiponda TBC wewe?
Ndio namjua leo alafu wewe si ndio unajifanyaga unaiponda TBC wewe?
Yupo sahihi kabsa, yambwa wanacheza CCL kama viti maalumu.Jamaa mbishi kweli na mf jana alikuwa anawalazimisha wachambuzi wake AMIR MHANDO, RAMADHANI MBWADUKE na JEMEDARI SAID wakubali eti YANGA wanacheza CCL km VITI MAALUM... jamaa wakawa wanambishia... Akawa anabisha...
Anakosa hiko kitu.Pia hana busara na anakosa uungwana wa kimjumuiko.Ni aina ya watu ambao hawawezi kufanya kazi na group...hujiona wanajua zaidi..hata anapotoa habari za michezo kwenye alasiri lounge huwa haendi sawa na wenzie..ana ego la kufa mtuKiukweli huwa simpendi huyo mtu coz kwanza ni mbabe na huwakatisha katisha wenzie. It is as if hana weledi wa kazi
Huku nilipo haikamati hata niki search kwenye simu tatizo nini wajulishe ipo TBC fm tuMm Mzalendo na TBC ni Channel ya wazalendo km mm
Huku nilipo haikamati hata niki search kwenye simu tatizo nini wajulishe ipo TBC fm tu
Hata usiangaike hawajawahi kunivutiaNina namba ya Ayubu ntakutumia.
Hilo LA Viti maalum hata Mimi ningewabishia, ni kweli Viti maalum,wabishi ni Yanga, mbona KMC hawabishi??Jamaa mbishi kweli na mf jana alikuwa anawalazimisha wachambuzi wake AMIR MHANDO, RAMADHANI MBWADUKE na JEMEDARI SAID wakubali eti YANGA wanacheza CCL km VITI MAALUM... jamaa wakawa wanambishia... Akawa anabisha...
Kwahiyo we umeamini kabisa kuwa hiko kipindi kipo TBC?Unawahi sana kuamini,kuna matapeli take care...Yaani kabisa umekaa unasikiliza Habari za michezo TBC? redio zote hizi zilizopo? Kule kama kuna ziara, ufunguzi wa Miradi Sawa lakini sio sports
Ah hyo alkuw sahh bnJamaa mbishi kweli na mf jana alikuwa anawalazimisha wachambuzi wake AMIR MHANDO, RAMADHANI MBWADUKE na JEMEDARI SAID wakubali eti YANGA wanacheza CCL km VITI MAALUM... jamaa wakawa wanambishia... Akawa anabisha...
Badili frequency.Huyu mwongozaji wa kipindi pendwa cha Sport Am anaanza kukiharibu kipindi kwa kuwalazimisha wachambuzi kuongea mawazo yake, Ni mbishi kupindukia na anawakatisha katisha mno wenzake kabla mtu hajamaliza kuchambua pointi yake. Hii inaondoa raha ya kipindi na kuna wakati mpaka wenzake hukasirika. Ni ushauri tu,Bin Zuberi ni mtangazaji mzuri ila jirekebishe,punguza kuwa Dictator kwa wenzako. Unaboaaaaa