Bin Zuberi unaanza kukiharibu kipindi cha Sport AM.

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,800
Huyu mwongozaji wa kipindi pendwa cha Sport Am anaanza kukiharibu kipindi kwa kuwalazimisha wachambuzi kuongea mawazo yake, Ni mbishi kupindukia na anawakatisha katisha mno wenzake kabla mtu hajamaliza kuchambua pointi yake. Hii inaondoa raha ya kipindi na kuna wakati mpaka wenzake hukasirika. Ni ushauri tu,Bin Zuberi ni mtangazaji mzuri ila jirekebishe,punguza kuwa Dictator kwa wenzako. Unaboaaaaa
 
Ushauri Mzuri. Nadhani amekusikia na atajirekebisha. Nikweli ako katabia anako. Ndugu Bin Zuberi jirekebishe shekhe.
 
Mahmoud Bin Zubeir
Screenshot_20190811_104533.jpeg
Screenshot_20190811_104502.jpeg
 
Jamaa mbishi kweli na mf jana alikuwa anawalazimisha wachambuzi wake AMIR MHANDO, RAMADHANI MBWADUKE na JEMEDARI SAID wakubali eti YANGA wanacheza CCL km VITI MAALUM... jamaa wakawa wanambishia... Akawa anabisha...
 
Bin Zubeiry ni YANGA damu, lakini
 
Jamaa mbishi kweli na mf jana alikuwa anawalazimisha wachambuzi wake AMIR MHANDO, RAMADHANI MBWADUKE na JEMEDARI SAID wakubali eti YANGA wanacheza CCL km VITI MAALUM... jamaa wakawa wanambishia... Akawa anabisha...
kubisha sio tatizo swali ni kwamba anatumia hoja za nguvu au nguvu za hoja ?..., Pia kusikiliza ni muhimu sana kwenye dialogue..., ndio maana ikawa dia na sio monologue...
 
Lengo la kipindi ni zuri ila tatizo pale ni Bin Zubery anataka mawazo yake ndio yasikilizwe hadi anawauzi wenzie ikiwezekana abadilishwe anakera sana
 
Jemedari alijiinamia kipindi kizima..Anaudhi huyu bin Zuber...anataka wenzake waongee kama ambavyo yeye angeongea!!Usiwaalike watu basi kaa mwenyewe ongea weeee,ufurahi...
 
Kwa mujibu wa maelezo yake ni kwamba watazamaji wamesema kwmba yanga na kmc wapo caf kwa mbeleko halafu yanga wanaanza kutia aibu
Jemedari alijiinamia kipindi kizima..Anaudhi huyu bin Zuber...anataka wenzake waongee kama ambavyo yeye angeongea!!Usiwaalike watu basi kaa mwenyewe ongea weeee,ufurahi...
 
Back
Top Bottom