Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,865
- 3,802
Huyu mwongozaji wa kipindi pendwa cha Sport Am anaanza kukiharibu kipindi kwa kuwalazimisha wachambuzi kuongea mawazo yake, Ni mbishi kupindukia na anawakatisha katisha mno wenzake kabla mtu hajamaliza kuchambua pointi yake. Hii inaondoa raha ya kipindi na kuna wakati mpaka wenzake hukasirika. Ni ushauri tu,Bin Zuberi ni mtangazaji mzuri ila jirekebishe,punguza kuwa Dictator kwa wenzako. Unaboaaaaa