Tena hizo ndio SUV, nishakutana na MB moja coupe 4 doors mda kidogo TRA field nikauliza story yake, jamaa alipoteza funguo, kaleta watu kutoka Kenya imewashinda, ikabidi awasiliana na dealers wa MB, akawaonesha proof ya umiliki kila kitu, akatoa mapesa akatumiwa funguo yake, anapiga moto gari imewaka fresh, shida zikawa Air suspension hazipandi, zishakufa, hio gari ilikuwa imekaa miaka mingi sana jamaa anjichanga kulipa ushuru wake. Anakuja kuuliza air suspension bei yake nafikiri aliambiwa moja ni 2m au 4 kitu kama ivi, aliiacha tu, mpaka namaliza filed ile gari ipo pale na hio naambiwa ni story ya mda, yaani jamaa kama kaitelekeza ivi. Halafu hapo ilipolazwa, huwezi kwenda mbele wala kurudi nyuma bila kuvunja bumpers na kukwaruza chini, imeotewa na mitiYaani ikishaua Air suspension inashuka chini. Ground clearance inakuwa ndogo. Hii nimeona kwenye RR sijajua kama na kwenye LC inakuwa hivyo pia.
Kama uko porini. Kuua vitu huko uvunguni ni kufumba na kufumbua.
Obviously aisee..
Hata mwili wa binadamu ukiwa stressed life span inayumba..
Ahhh ok.. Turbo charging.. Hii ni forced induction ya hewa kwenye block.. Engine itakuwa stressed.. Hii ndio tunaongelea muda wote..
How can you squeeze same hp ya bigger block kwenye smaller block bila kuistress!!!? Itakuwa stressed tuu na forced induction-turbo..!
Mm ndo nilianzisha huo mjadala wa engine yenye cc nyingi ila output kidogo kudumu zaidi hata kuchemka sio rahisi...
At first nilivoona audi nikasema hii kitu ya 2l inatoa 190hp sio mchezo maana hp kama hizo za diesel ambayo imepatikana let say kwenye 3800rpm hadi 4100rpm basi jua torque ipo between 380 to 440nm hio torque si kidogo hata 2L diesel engine kutoa 190hp basi jua kinachoendelea kwenye cylinder sio kitu cha kitoto...
Kuna kipindi nikaona basi yale ma 1hz, 1hd ni makubwa jinga cc nyingi output kama ya 2L....
Kuna kipindi tukapata safari tuko na coaster DRN 1HZ trip ya 1000km+ tumepita mikoa kama minne mitano hivi kupumzika ni kwenda kula tu chuma inabaki silence....coaster imejaa mizigo watu pia wamejaa ila tulitembea jumla masaa 16 toka tumeanza safari hadi kufika tuendako kabisa ..nikawaza kale ka 1hz ndo kalitubeba watu wote wale na kuna sehemu iko speed tu vizuri wala husikii ikilalamika ..na ukiwaza hio engine haina 150hp na kuna audi 2l yenye 190hp hata kwa akili ya kawaida unajua kabisa ile engine ikifungwa hapo ingeteseka sana sometime hata kuchemka kabisa ( kurusha maji) japo imeizidi nguvu hio 1hz
Uhahisi kwann?? Ile engine ni ndogo imefosiwa na forced induction like turbo mpaka ikatoa output kubwa...hata kama power/torque figure inakaribia kufanana ila hio ya 2L haiwezi kazi inafanya hil 1hz
Tena hizo ndio SUV, nishakutana na MB moja coupe 4 doors mda kidogo TRA field nikauliza story yake, jamaa alipoteza funguo, kaleta watu kutoka Kenya imewashinda, ikabidi awasiliana na dealers wa MB, akawaonesha proof ya umiliki kila kitu, akatoa mapesa akatumiwa funguo yake, anapiga moto gari imewaka fresh, shida zikawa Air suspension hazipandi, zishakufa, hio gari ilikuwa imekaa miaka mingi sana jamaa anjichanga kulipa ushuru wake. Anakuja kuuliza air suspension bei yake nafikiri aliambiwa moja ni 2m au 4 kitu kama ivi, aliiacha tu, mpaka namaliza filed ile gari ipo pale na hio naambiwa ni story ya mda, yaani jamaa kama kaitelekeza ivi. Halafu hapo ilipolazwa, huwezi kwenda mbele wala kurudi nyuma bila kuvunja bumpers na kukwaruza chini, imeotewa na miti
Izo Air Suspension zina raha yake ila zikibuma shughuli si ndogo, nshatembezewa RR vogue hizi za 2005, jamaa kataka milioni 5, lakini Air suspension zote zimelala. Nlikuwa sina pesa ila ningeichukua nikaenda kuiwekea coil springs tu
Mkuu wazungu walio tulitea haya, unafikiri hawakuwa reason kama wewe na hadi wakaamua kuleta hivyo vyuma? Kama vingekuwa nashida wasingetoa maana mambo mazuri mazuri yote yanatoka kwa mzungu.. Nimeona wanatoa VW R 4 cyl.. HP 400++
Ila fungeni safari mnaenda let say mwanza from dar afu utajua faida ya hizo displacement kuwa kubwa faida yake
Sasa huwezi jua jinsi zilivyokuwa zinaendeshwa..
Hapa tunazungumzia zikiwa zinashindana..
Engine kubwa ina max hp n torque kwenye lower rpms kuliko ndogo.. Kwahiyo wear n tear itakuwa ndogo..
Sasa zile gari inaonesha wanaendesha Wazee.. Nimewaona kwenye video.. Kwahiyo nina assume hazikuwa zikikanyagiwa vizuri..
Sawa.
Kwanini hukutoa ushauri waachane na hizo engine ambazo unaona zipo stressed?
Tufanye unafanya kazi Porsche, washauri waachane na 3.8l inayotoa 650hp wahamie kwenye 6.7l ili wapate hiyo 650hp. Manake engine haiwi stressed.
Sasa bwana engineer, unaongeleaje Jeep Trackhawk yenye 6.2l inatoa 700hp? Manake ni turbo and super charged.
240kph itafika sababu uzito wake ni mdogo. easy mbona.Hii ndo mambo nabishana na wengi sana kwa madai au lile jibu la unadhan alioweka hivi hana akili?? Ni kama speedometer unakuta ka gari kana 1ton hp 80 afu speedo inasoma 240kph na yeye akili zake anajua akikanyaga anafika hio speed ukimwambia anakwambia kwan alioweka hana akili 😁
Naunga mkono hoja kwa mikono miwili! Gari za performance internals zake ziko forged! Haziko sawa na za stock N/A!Hahaha aisee hii kitu haiwezekani..
Drag race...!!! Hivi unaelewa investment inayofanyika kwenye engines za gari unaona kwenye drag race..!!!? Internal parts zake ni stock!!? Head ni stock!!?
Fuatilia ufahamu how much inacost kupunguza 1/4 time by 1 sec.. Hizo engines sio stock... Wamezireinforce internals ile mbaya..!
Ubembeleze engine ya 3.5 na ife!!!?
Itakuwa na matatizo kutoka kiwandani..
Plus bongo matumizi ya magari sio mazuri..
Huyo jamaa wa mbele muoga sasa mdude una 260 unasogelewa na kiande namna hio ningemuachia nyoya tu😅
Uki forge parts ukaweka za perfomance haifi😅 zinazokufa ni zile za kujipachikia turbo za miembeni bila kujua kuwa block itapata moto zaidi lazma uwe na new internals za ku handle ongezeko la jotoTena 1.6L TDI...
Kuna muda walikuwa wanasema engine ndogo ukiiweka turbo inawahi kufa.
Tena huyo nmeleta mmoja ila zipo nyingi sana.
Ukiifuatilia kwenye coaster nyingi utaipataNiletee 1hd yenye kilometre milioni
labdaUkiifuatilia kwenye coaster nyingi utaipata
Hahaha Nipo.. Bado naitafuta..!Nimemlete hivyo viinjini vidogo vyenye turbo na vimegonga kilometa milioni moja.
Sasa yeye alisema eti ingekuwa engine kuwa ingefanya mara mbili yake. Nikamuomba alete 1hdt and the likes ambayo ina kilometa milioni mbili.
Sijamuona tena.
Point hapo ni hata kama power figures zinafanana ila characters zitapishana.. Inabidi uitazame graph ya power n torque output.. Engines zinatoa kwenye lower rpms kuliko engine ndogo.. Ndio tunasema ipo relaxed..!Point yako ni nini?
Hapa mjadala ulikuwa kwenye speed na ukubwa wa engine.
Naona saiv umehamia kwenye mzigo.
Okay.
EA188 engine ya Audi haiwezi kuperform kwenye hiyo coster yako kwa sababu ya kuwa na Torque ndogo....
Point hapo ni hata kama power figures zinafanana ila characters zitapishana.. Inabidi uitazame graph ya power n torque output.. Engines zinatoa kwenye lower rpms kuliko engine ndogo.. Ndio tunasema ipo relaxed..!