Bimmer na Landcruiser V8

Aisee huo uzito wa mzigo kwa Scania haitafeel chochote..
Sababu gari yenyewe tuu ni nzito zaidi ya huo mzigo..!
Unlike Suzuki jimmy.. Ukiongeza mtu mmoja tuu nyuma wa 80kgs utafeel gari kabisa ina mzigo..

Unadhani kwann V8 isingefungwa engine ya scania badala ya hiyo 1VD?
 
M-series ngapi umeziona bongo?

Bongo hapa zimejaa E-46 ambazo Bei zake Ni sawa na IST tu,ukija hapo Kwny E-90 zipo zipo kwa mbaali,F-series Ni za kuhesabu tu.Sasa weka M-version za hizo Gari ndio utakuta nchi nzima hata kumi hazifiki
Mkuu tatizo ni ushuru ya hizi gar serikal umeziweka juu ukilinganisha na toyota. Mfano hzo bmw m series au audi quattro ya 2012 moja tu ni sawa na kuingiza crown ya 2012 mbil
 
Umeprove!!!?
Gari ya 260hp na Torque 650Nm kwenye same speed iwe sawa rpms na gari ya 190hp na 320Nm.. Hata kama zinapishana weight..
Inabidi ujifunze calculations za horsepower rpm n torque..!
Hizo ni hesabu za kwenye makaratasi... uhalisia mambo ni tofauti.
 
Hapo output ipi unaizungumzia mkuu?

Yaani kitu kimoja ambacho mnajisahaulisha, kila engine hapo ni optimum kwenye gari husika.

Usiniambie eti 1VD kwenye 200kph itakuwa na rev ndogo sana kuliko 2.0 TDI ya audi.

BMW na V8 hazina same chassis...

Kila engine hapo italast longer kwa sababu kila gari hapo inapush mzigo tofauti na nyenzake.

Toleo la kwanza la IST kuna variant kadhaa unadhani zina uzito na size sawa. Google specs za gari yoyote then angalia uzito na size kama vipo fixed.

Ukiona gari mbili za aina moja zina engine tofauti. Basi hizo gari hazina uzito sawa. na huenda haiza size sawa.

Pia hizi engine hazipachikwi tu kwenye magari. Kwamba IST wameshindwa kuiwekea engine ya Cc600? unadhani haitatembea?

Kuna sababu kwanini wameanzia Cc1290. Hiyo ndio optimum point.
Tofauti ya uzito ni mdogo sana afu usidhan tu wanaamua tupunguze uzito ukidhani ni mawe wanaweka na kutoa tofauti ya uzito inaeza kuja kwa ajili ya additional piston nk..afu ni katofauti ambacho ukipakiza mtu mmoja na mm nikawa mwenyewe tayari tumelingana weight haya yangu bado ina engine kubwa haiteseki hata for the same work...
 
Ulipotea sana nikahisi umekimbia..!

Nimeomba huo utofauti bado haujanipa..!!

Span ilikuwa kati ya engine kubwa na ndogo.. Labda kuna misunderstanding..
Ishu yetu ni cc za gari zinachangia life span..

Gari ya kizamani tena..!!!
Plus hiyo ndio point tulikuwa tunajaribu kuonyesha..
Engines nyingi za zamani utakuta zina cc kubwa ila output ndogo.. Ndio maana zinaishi muda mrefu..
Engines za kisasa zina cc ndogo ila same au zaidi ya output ya engines kubwa za zamani.. Ndio maana haziwezi kulast longer.. Kwahiyo bado tunarudi pale pale.. Engine displacement cc inachangia lifespan..!

Engine ndogo hata life span yake ni ndogo..huwezi fananisha na kubwa..!
Na sijafahamu kwanini hutaki niweke Scania..!
Mfano mzuri lile li defender la 2.5L lilikuwa linatoa only 110hp

Haya ma nissan homy, caravan, yamejaa yana 2700cc ila ni 88hp tu..nowdays kuna vitz ya diesel ina cc 1400 ouput ni sawa na hio caravan yenye 2.7L.... hata mtoto anaona tu hio caravan ina maisha marefu sana tena linabeba abiria toka asubuh to night kila siku still linaweza last longer kuliko hil vitz
Rpm za kurelax ni zipi?

Kwamba 1vd ikiwa 200kph itakuwa kwenye 3000rpm na 2.0tdi ikiwa 200kph itakuwa ina rev at 8000rpm?

Aisee 660 ni nusu ya 1300..!!
Difference ya uzito nayo ni mara mbili!!!?
Bado hujaiona point...!!!?
Au simple tupige mahesabu ya power to weight ratio aone kama hio ya cc 660 haina namb ndogo
 
Sababu zangu..
Landcruiser ndio flagship ya Toyota kwenye SUVs.. Na hiyo ndio most powerful diesel engine Toyota walikuwa nayo.. Kwahiyo vinaendana..!

Hapo juu nimekuuliza maswali mengi lakini point yangu hasa ilikuwa hivi.

Ukiona gari ina engine fulani just know watu walicalculate wakaona hiyo engine itafaa na itasupport uzito wa hiyo gari pamoja na uzito wa mzigo itakayobeba with exception kama itakuwa overloaded.

Point ya engine ndogo kuwa na maisha mafupi ni too theoretical.

Suzuki Carry maximum load yake ni 500kg tu kama sijakosea, unadhani ni kwanini hizo gari zinaua sana engine?
 
Tofauti ya uzito ni mdogo sana afu usidhan tu wanaamua tupunguze uzito ukidhani ni mawe wanaweka na kutoa tofauti ya uzito inaeza kuja kwa ajili ya additional piston nk..afu ni katofauti ambacho ukipakiza mtu mmoja na mm nikawa mwenyewe tayari tumelingana weight haya yangu bado ina engine kubwa haiteseki hata for the same work...
We unajuaje kama gari inateseka?

Me najua gari yoyote itateseka kama umeioverload kinyume cha hapo hamna gari inateseka.
 
Hapo juu nimekuuliza maswali mengi lakini point yangu hasa ilikuwa hivi.

Ukiona gari ina engine fulani just know watu walicalculate wakaona hiyo engine itafaa na itasupport uzito wa hiyo gari pamoja na uzito wa mzigo itakayobeba with exception kama itakuwa overloaded.

Point ya engine ndogo kuwa na maisha mafupi ni too theoretical.

Suzuki Carry maximum load yake ni 500kg tu kama sijakosea, unadhani ni kwanini hizo gari zinaua sana engine?
Ahhh ok good good.. Ila kuna vitu vingi sana unamiss..
Toyota Landcruiser 100 series.. Kuna 1hz..kuna 1hdfte.. Kuna 1fz..kuna 2uz.. Kila moja ina power figures zake tofauti tofauti.. Sasa hiyo calculation unayosema waliifanya kutumia engine ipi kwenye same car..!!!!?
Options nyingi za engines unapewa ili wewe uamue kutokana na matumizi yako ipi itakufaa.. Hii point iweke kichwani usiisahau..!

Sedan engine ndogo hata internal parts zake zinakuwa designed kwa umbali kadhaa tofauti na engine kubwa..!

Nje ya mada kidogo.. Ukiwa unafanya design ya barabara.. Unaangalia barabara ni kubwa au ndogo... Kwahiyo life span unaweka kulingana na matumizi yake makubwa au madogo..!
 
Toyota Landcruiser 100 series.. Kuna 1hz..kuna 1hdfte.. Kuna 1fz..kuna 2uz.. Kila moja ina power figures zake tofauti tofauti.. Sasa hiyo calculation unayosema waliifanya kutumia engine ipi kwenye same car..!!!!?
Always there is a bottom line.... Unadhani kwanini hawakufunga 1kz?

Options nyingi za engines unapewa ili wewe uamue kutokana na matumizi yako ipi itakufaa.. Hii point iweke kichwani usiisahau..!

Yes hii naijua, ndio maana the same cars ikiwa sport na ikiwa non sport hazitokuwa na engine sawa.

Sedan engine ndogo hata internal parts zake zinakuwa designed kwa umbali kadhaa tofauti na engine kubwa..!

Hapa sijakuelewa aiseee.
 
Point ya engine ndogo kuwa na maisha mafupi ni too theoretical.

Suzuki Carry maximum load yake ni 500kg tu kama sijakosea, unadhani ni kwanini hizo gari zinaua sana engine?
Yes hizo zinakuwa overloaded..
Hapo ni wao wanaharibu engine wenyewe..
 
Always there is a bottom line.... Unadhani kwanini hawakufunga 1kz?

Yes hii naijua, ndio maana the same cars ikiwa sport na ikiwa non sport hazitokuwa na engine sawa.

Hapa sijakuelewa aiseee.
Aisee 1kz na 1hz ipi inatoa power zaidi!!!? 1kz power figures zake ni kubwa... Ila haijafungwa humo sababu ni 4 cylinder itachoka mapema zaidi ya 6 ya 1hz... Na hii ndio tumekuwa tukikuelezea tangu mwanzo..
Angalia wapi wamefunga 1kz.. Prado ii.. Angalia how Prado ii na Mkonga zinafanana.. Ila engines tofauti.. I told You tangu mwanzo kazi ya Mkonga ukiipa Prado ii itablow hata kama ina powerful engine kuliko Mkonga..!
Bigger engine ni better..!

Ok ni hivi.. Engine huwa inafanyiwa design kama unavyodesign nyumba na vitu vingine.. Kwahiyo manufacturers wanaagalia hii gari ni engine ndogo.. Then internal parts zake zinawekwa kulast muda mchache tofauti na engine kubwa.. Cost of production..!
 
Haya Toyota Echo hii tena hii ni petrol.... Imegonga 1m mpaka odo haiwezi kuendelea kucount.

Audi A4 hii nayo ina 1m km....

Haya hii subaru forester nayo imegonga kilimetre milioni moja.

Haya ni Skoda, Ndugu yake wa Audi na VW ni 1.9L TDI na ina 940,000Km.

I told you mambo mnayoongea yapo too theoretical.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom