Bimmer na Landcruiser V8

Ushasema TDI, huyo anapewa 1HD-FTE ananyooshwa af safi tu
Sababu iliyotolewa kwenye comments zilizopita kuwa 340i ni injini kubwa kuliko lc v8 tusilinganishe ndio hiyohiyo naitumia kukupinga juu ya hdt na tdi,how you dare compare those engines? Tdi2.5L na1hdt 4.2L both with turbo!Tdi ni injini ndogo kwa1hz lakini inaweza ku compete nae vizuri tu katika measures nyingi tu mfano speed with good fuel efficiency,offroading,durability nk ni kama mtoto aliyerushwa darasa na bado akashindana na wakubwa zake na hata kuwashinda.
 
Aisee hivi kwanini LandRovers nyingi ndio zinatumika ku-tow magari.. Zina nguvu sana au ni cheaper kuliko
Landrover nafikiri ni mazoea tu ila pia drivetrain yake nzuri ila kwa torque figures labda Td5 ndio anamzidi 1HZ!

Yule boya aliokuwa ana compare td200 na td300 against 1Hz tu inabidi nimtie makofi sababu si kwa HP wala Torque huyo defender anamgusa! Kikubwa labda kupanda milima haraka land rover turbo haitosinzia!
 
Sababu iliyotolewa kwenye comments zilizopita kuwa 340i ni injini kubwa kuliko lc v8 tusilinganishe ndio hiyohiyo naitumia kukupinga juu ya hdt na tdi,how you dare compare those engines? Tdi2.5L na1hdt 4.2L both with turbo!Tdi ni injini ndogo kwa1hz lakini inaweza ku compete nae vizuri tu katika measures nyingi tu mfano speed with good fuel efficiency,offroading,durability nk ni kama mtoto aliyerushwa darasa na bado akashindana na wakubwa zake na hata kuwashinda.
Mkuu 1Hz iko juu ya hio 300Tdi anachozidiwa ni turbo tu! Ila torque na HP hamkuti HZ!

Ishu sio engine ndogo bali output mkuu na competitors wa hizo rover engines during their prime. Kulikuwa na 1PZ ya kwenye 76 series na 12ht ya kwenye 60 series. Hizi mashine naomba nisizigusie maana utapoteana.

Land rover inayojielewa ni kuanzia Td5 ya discovery hapo. Nayo ikipewa 1KZ-TE kinaumana😅
 
Aisee nahisi 1PZ ni weaker kuliko 1HZ.. Basically ni 1HZ yenye 5 cylinders..!
12ht👍🏾..!
LandRovers kama uliyosema kwenye milima wapo vizuri..
Enzi hizo manufactures walikuwa wanatengeneza engines to last.. LandRover na Landcruiser zilikuwa moto sana off road na ukitaka kufanya overland trip..!
 
1PZ ni 5 cylinder variant ya 1HZ na 1HD-FT ni 24 Valves variant ya 1HZ yenye turbo!

Kwa power 1PZ iko low kwa 1HZ sema iko Torquey
 
Aisee hivi kwanini LandRovers nyingi ndio zinatumika ku-tow magari.. Zina nguvu sana au ni cheaper kuliko Landcruiser..!!?
Bei ya kuinunua Land Rover 109 au 110 iliyotumika hapa Bongo ni ndogo hizo 109 unapata mpaka Kwa million 2, na service chache inafanya towing.
Land Cruiser Pick Up Series 70 Bei ya kununua IPO Juu ukikuta Kwa mtu bila ya +20million hupati.

Hizo Land Rover za towing ukifatilia janja janja nyingi kuanzia Documents,engine Mpaka vibali, Nyingi hazina Usajili, za washua wastaafu, nyingine ziliuzwa kwenye minada na baadhi wametoa injini zake wameweka 2L ya Toyota na Engine za Nissan Datsun.

Land Rover 109 ndio gari rahisi pia kuhudumia bush zake full kuchonga,spea nyingi unaweza ukachonga na ikakaa na spea Temeke zimejaa gari zimekuwa outdated.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom