Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,756
kwa mbio VXR unaipa tu BMW M550i xDrive, tena VXR hapo anachakazwa dk ya sifuri kabisa, hujaenda kwa baba kaze na M550i hapo 😀😀😀😀Nyie ndo mnadhani bimmer zote ni 3 series.
Hamjui kama kuna Bimmer zimeshapita levels za VXR.
Sent using Jamii Forums mobile app