Bimmer na Landcruiser V8

kinachosumbua ni mtu ajui gari hii iende wapi na ikafanye nini.. gari yoyote haitaki mikono mingi, haijalishi toyota au mjerumani .. polisi wapo rough kila mtu ana uendeshaji wake lazima zife, polisi wa ulaya wanatumia gari gani kwani ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Kwa Operations za Polisi wanatakiwa gari korofi kama land cruiser hard top zile
 
acha nikutazame tu, kuna class one mafala tu.. huenda tunatofautiana kutazama na exposure so ni lazima tuwe tofauti ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Kwamba Jamaa co. Yake imelamba Tsh.286 bil ya kujenga airport na bado anaonekana Ni mshamba na hana exposure Hahah hiiiii.Labda wenye exposure watakua hawa wenye kuendesha hizi 3 series zetu.
 
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Kwamba Jamaa co. Yake imelamba Tsh.286 bil ya kujenga airport na bado anaonekana Ni mshamba na hana exposure Hahah hiiiii.Labda wenye exposure watakua hawa wenye kuendesha hizi 3 series zetu.
Unachowaza na mie nachowaza au tafsiri yangu na zako ni tofauti sana, tutapotezeana mda tu, naona twende tu kupuliza samaki samaki leo kuna vipulizio vya haja haya mengine tuyaache kupishana kupo ila kwenye vipulizio twende tukapulize
 
wajapan wakaza shingo hadi wanakunya, kuna kipindi una wadharau tu japo ndugu zetu.. Amaroko kuipambanisha na Hilux ni ujinga mwingine huo unatakiwa kuingizwa kwenye guiness book
Mm nimeshangaa maana hilux nimetumia field uko kusini aiseee hamna kitu kabisa, kuna wakati tunajaza viroba vya mchanga nyuma ili tutembee vizuri, Amarok nilitumia mara moja natoka ifakara to moro, iko poa sana
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom