Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,756
Kila gari ina haribika mkuu, kuna yotota zimeharibika haraka zaidi ya AmarokEngine ya Amarok ipo stressed zaidi.. ina possibilities za kuharibika mapema zaidi ya HiLux..
Kila gari ina haribika mkuu, kuna yotota zimeharibika haraka zaidi ya AmarokEngine ya Amarok ipo stressed zaidi.. ina possibilities za kuharibika mapema zaidi ya HiLux..
Sawa kabisa mkuu unajua kila gari inategemea na malengo na mfuko wako ukoje! Ukiwa na uwezo wa kusatisfy mahitaji ya gari husika unaweza hata agiza 2021 BMW X7 ukaipeleka kwenye mamito na makorongo ya huko site!Dunia inabadirika watu wanafunguka akili, Amarok ni gari bora kabisa kuanzia site hadi town, ukitaka mwendo ndio mwake mle.. mnakimbiliaha offroad bado ina fanya vizuri na sio kila field zipo matakoni mwa nchi 😀😀😀
Hizi hakuna kitu zinapiga miruzi tu barabarani 😀😀😀Hilux anatumia 1GD sahizi kama Fortuner tu! Engine ya 204HP so sio kinyonge sana yani!
Nyie wa kizamani hamuwezi ijadili ila sie wa kisasa hayo ndio maneno ... huwezi kimbia kitu kizuri mzee baba, na anae kimbia gari kali hata demu mkali hawezi mmudu atalia pia gharama
Hamna mtu anakimbia kitu kizuri na ndio maana kuna Maybach na A Class Benz! Unanunua kile ambacho unahisi kitakupa amani ya moyo!Nyie wa kizamani hamuwezi ijadili 😀😀😀😀 ila sie wa kisasa hayo ndio maneno ... huwezi kimbia kitu kizuri mzee baba, na anae kimbia gari kali hata demu mkali hawezi mmudu atalia pia gharama
Wapo wa site wameanza agiza hizi Amarok, wanafunguka mkuu, watu wanatoka kwenye boksiSawa kabisa mkuu unajua kila gari inategemea na malengo na mfuko wako ukoje! Ukiwa na uwezo wa kusatisfy mahitaji ya gari husika unaweza hata agiza 2021 BMW X7 ukaipeleka kwenye mamito na makorongo ya huko site!
Ikiua kifaa unaandika cheque ya million 15 unaagiziwa 😅 fasta! Umepasua sample unaandikia tu $5000 unaletewa wala haina shida! Mwenye hesabu kali hawezi kuishi humo!
Walioko cost concious ndio hao wanaotumia Hilux! Wapo watu wenye hela za kununua Amarok ila hawanunui kwani wao hawajui kwamba Amarok ina mvuto zaidi na gari ya hadhi zaidi!
Hahahahah sasa gari iko limited to 200KPH mzee unategemea ikimbie kama gari ya 250KPH? Its not meant for sports anywayHizi hakuna kitu zinapiga miruzi tu barabarani 😀😀😀
Hela ipo mzee, ukiona matumizi hayana limit jua kipato cha kuzidi kipo! Kama unaingiza 200M kwa mwaka huwezi ogopa service ya million 15 kwa mwaka!Wapo wa site wameanza agiza hizi Amarok, wanafunguka mkuu, watu wanatoka kwenye boksi
Mnakimbia Amarok kwa reason cheap sana, wapo wakandarasi wanatumia hizo, na wapo walio karibu wanatumia German machine, na wapo kwenye game miaka na miaka, polucy ya company yenu na washauri wenu wa idara ya mitambo walio meza kuwa Toyota ni bora .. hakuna gari ya mjerumani inayoshindwa kufamya kazi ambazo toyota zinafanya jq zaidi ya hapoHahah hujui ulisemalo aisee,yaani vitu cheap kama wanawake ndio uje uvilete kwny watu wenye deals za pesa kama zile?Watakushangaa sana maana hao wanawake unaowasema hua mpk wanakua imported kabisa na uchafu wanaofanyiwa sio wa kusimuliwa.Wale ni cheap products tu.
Kweli mtakua bado ni amatuers.Nimesikitika sana mzee.
Napingana madai yake Hilux ni bora kuliko Amarok, na anakimbilia ku serve cost kila company ina policy zake, kuna company hawataki kabisa kusikia hizo Hilux , wao ni Nissan tu tusiingizane mkenge kama wote tumetoka mashomoni huko 😀😀😀😀Hamna mtu anakimbia kitu kizuri na ndio maana kuna Maybach na A Class Benz! Unanunua kile ambacho unahisi kitakupa amani ya moyo!
Hilux sio gari baya just to make things clear. Kwa mtazamo wako labda ila its a great car lina amenities zote za gari ya kisasa! Its meant to be a workhorse sio gari ya kuuzia sura ile wala mashindano😅
Ndipo hapo mtajua mjerumani anachapa mjini na anachapa shambani 😀😀😀Hahahahah sasa gari iko limited to 200KPH mzee unategemea ikimbie kama gari ya 250KPH? Its not meant for sports anyway
Kimi pia aisee,nazikubali sanaLand cruiser/v8 ni moja kati ya magari nayapenda kuriko aina yoyote ya magari duniani.
Sawa kabisa mkuu unajua kila gari inategemea na malengo na mfuko wako ukoje! Ukiwa na uwezo wa kusatisfy mahitaji ya gari husika unaweza hata agiza 2021 BMW X7 ukaipeleka kwenye mamito na makorongo ya huko site!
Ikiua kifaa unaandika cheque ya million 15 unaagiziwa fasta! Umepasua sample unaandikia tu $5000 unaletewa wala haina shida! Mwenye hesabu kali hawezi kuishi humo!
Walioko cost concious ndio hao wanaotumia Hilux! Wapo watu wenye hela za kununua Amarok ila hawanunui kwani wao hawajui kwamba Amarok ina mvuto zaidi na gari ya hadhi zaidi!
issue ni policy ya comapny na alie kwenye idara husika, kuna company policy ya idara ya mitambo inaaamini kwenye Ford , kwa swala la kujificha kwenye cost lina ukweli sawa ila pia watu wamekalili.. miaka ya nyuma fatilia kama Ford zilikuwa zinatumika site, ila sasa hivi zimekuwa kawaida kabisaaHela ipo mzee, ukiona matumizi hayana limit jua kipato cha kuzidi kipo! Kama unaingiza 200M kwa mwaka huwezi ogopa service ya million 15 kwa mwaka!
Napingana madai yake Hilux ni bora kuliko Amarok, na anakimbilia ku serve cost kila company ina policy zake, kuna company hawataki kabisa kusikia hizo Hilux , wao ni Nissan tu tusiingizane mkenge kama wote tumetoka mashomoni huko
Inategemea na circle yako yenyewe Extrovert pale kijiweni miamba hawana huo ujinga wa kujificha kwenye machaka ya gari za kinyonge, sio field na sio town, inatehemea na circle yenu imejengeka kwenye misingi ipi..Hahah na asikudanganye mtu eti watu wenye mipunga hua hawajui maguri mazuri.Jamaa hua ni watu wa mahesabu makali na wanakwambia kujibana bana hivyo ndio kumenifikisha hapa.
Mwenzao mmoja alinunuaga hummer 2 kitu 6.0 V8 zikiwa ndio zinabamba miaka hio,wenzake walikua wanamcheka kichizi wanamwambia anaendesha gari kubwa jinga.Huko field ni bure tu,wese halifai.Na waliokua wanacheka wao walikua wanatumia kitu cha 1HD-FTE.
Mnakimbia Amarok kwa reason cheap sana, wapo wakandarasi wanatumia hizo, na wapo walio karibu wanatumia German machine, na wapo kwenye game miaka na miaka, polucy ya company yenu na washauri wenu wa idara ya mitambo walio meza kuwa Toyota ni bora .. hakuna gari ya mjerumani inayoshindwa kufamya kazi ambazo toyota zinafanya jq zaidi ya hapo
, hakuna sehemu nimesema kwamba kuna fleet nzima ya mjeruma, ila kila company ina policy zake kwenye issue ya magari na hii inatoka mtu wao au mshauri wao wa mitambo , unategeme nini kama mie nikiwa mkuu wa idara ya mitambo unafikiri nitashauri hizo gari zenu ? Unasemaje wanao tumia sehemu kuwa Ford ? Nissan ? zamani hizi gari hazikuwa zikitumika sanaNa Co. Yenye fleet za Mjerumani tu ni zipi hizo mzee?
Inategemea na circle yako yenyewe Extrovert pale kijiweni miamba hawana huo ujinga wa kujificha kwenye machaka ya gari za kinyonge, sio field na sio town, inatehemea na circle yenu imejengeka kwenye misingi ipi..
, hakuna sehemu nimesema kwamba kuna fleet nzima ya mjeruma, ila kila company ina policy zake kwenye issue ya magari na hii inatoka mtu wao au mshauri wao wa mitambo , unategeme nini kama mie nikiwa mkuu wa idara ya mitambo unafikiri nitashauri hizo gari zenu ? Unasemaje wanao tumia sehemu kuwa Ford ? Nissan ? zamani hizi gari hazikuwa zikitumika sana