JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,327
- 9,322
Hizo GX zinamilikiwa na serikali, makampuni na taasisi kubwa.
Mantainance yake ni sawa na hizo za ujerumani, interms of expenses na time.
Ni vile individuals wachache ndo wanazimiliki na hawazipi kashkash kama za serikali. Nimeshafanya kazi na hizo gari, serikali inapeleka pale Toyota Tz bill inakuja 5 -6M na inalipa bila mawazo.
Ila msizione hiko barabarani mkaziona zni durable sana.
Wajapani wenzako wamekunja sura huko....
Wanatafuta namna wakuchome moto....
Mi nililetewa Vieite ilienda tu kigoma hivyo ikawa imetembea kwenye vumbi kipande kirefu... Iliwasha check engine kuja kupima MAF sensor ishafanya yake...
MAF sensor yake used 250k hadi 300k...
Sasa hapo kuna tofauti gani na mjerumani?