Bimmer na Landcruiser V8

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,250
2,000
kinachosumbua ni mtu ajui gari hii iende wapi na ikafanye nini.. gari yoyote haitaki mikono mingi, haijalishi toyota au mjerumani .. polisi wapo rough kila mtu ana uendeshaji wake lazima zife, polisi wa ulaya wanatumia gari gani kwani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kwa Operations za Polisi wanatakiwa gari korofi kama land cruiser hard top zile
 

9.8ms squared

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
7,139
2,000
πŸ˜„πŸ˜„ Kwamba Jamaa co. Yake imelamba Tsh.286 bil ya kujenga airport na bado anaonekana Ni mshamba na hana exposure Hahah hiiiii.Labda wenye exposure watakua hawa wenye kuendesha hizi 3 series zetu.
Unachowaza na mie nachowaza au tafsiri yangu na zako ni tofauti sana, tutapotezeana mda tu, naona twende tu kupuliza samaki samaki leo kuna vipulizio vya haja haya mengine tuyaache kupishana kupo ila kwenye vipulizio twende tukapulize
 

nG'aMBu

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
1,794
2,000
wajapan wakaza shingo hadi wanakunya, kuna kipindi una wadharau tu japo ndugu zetu.. Amaroko kuipambanisha na Hilux ni ujinga mwingine huo unatakiwa kuingizwa kwenye guiness book
Mm nimeshangaa maana hilux nimetumia field uko kusini aiseee hamna kitu kabisa, kuna wakati tunajaza viroba vya mchanga nyuma ili tutembee vizuri, Amarok nilitumia mara moja natoka ifakara to moro, iko poa sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom