Bimmer na Landcruiser V8

9.8ms squared

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
7,139
2,000
Hahah aisee,nilikua sijui aisee inawezekana hawa top dogs wa class 1 wakawa hawajui magari mazuri ahahah.
Unaweza ukawa Class one na bado ukawa mshamba tu, vipenzi havilingani na haujui wakandarasi na hujui pia companyo zote mkuu.. unajua kwa sehemu , mie circle yangu wapo hao wenye class one na wana gari za kijerumani ja hadi field wanaenda nazo huwezi jua watu wote
 

9.8ms squared

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
7,139
2,000
Kwa hio kuna uwezekano hizi top tier co. Zote zikawa na washauri wa aina moja sio?Kule juu hukuona nimekwambia field zimejaa Toyota na Nissan tu.?

Na nilikwambia takataka za ujerumani huko majumbani makwao wanazo wamenunulia wake zao/michepuko lkn hawana habari ya kuja nazo field.
eto takaka za mjerumani πŸ˜€πŸ˜€ ...
Kwenye sector hiyo kuna mabadiriko watu wanafunguka, tanzania au namna ya ukandarasi wa miaka ya 1990 sio sawa na 2021 ukipata tofauti ya hapa utaelewa namaanisha nini
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,250
2,000
, hakuna sehemu nimesema kwamba kuna fleet nzima ya mjeruma, ila kila company ina policy zake kwenye issue ya magari na hii inatoka mtu wao au mshauri wao wa mitambo , unategeme nini kama mie nikiwa mkuu wa idara ya mitambo unafikiri nitashauri hizo gari zenu ? Unasemaje wanao tumia sehemu kuwa Ford ? Nissan ? zamani hizi gari hazikuwa zikitumika sana
Yeah inategemea na risk appetite ya mhusika katika idara ya logistics na upepo wa hela wa kampuni
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,250
2,000
Na ndivyo itavyokuwa kwa gari zingine, ni swala la mda tu.. watu wanatoka kwenye utumwa wa kutishwa sijui gari gani kimeo, ni sawa na leo kuna watu wana zikandia sana Auto
Change is inevitable ila kadri mtu atakavyo experience atajua which is the best! Kuna ambao walihamia kwenye muingereza wakaona costs zinakuja juu sana kwenye running & maintanance kisha waka revert kwa mjapani!

Mfano mzuri ni Polisi Tz! Kuna kipindi walikomaa na ma landrover ila yakawa yanaharibika sana wakatest Landcruiser toka na hapo hawajageuka nyumaπŸ˜‚
 

9.8ms squared

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
7,139
2,000
Change is inevitable ila kadri mtu atakavyo experience atajua which is the best! Kuna ambao walihamia kwenye muingereza wakaona costs zinakuja juu sana kwenye running & maintanance kisha waka revert kwa mjapani!

Mfano mzuri ni Polisi Tz! Kuna kipindi walikomaa na ma landrover ila yakawa yanaharibika sana wakatest Landcruiser toka na hapo hawajageuka nyumaπŸ˜‚
kinachosumbua ni mtu ajui gari hii iende wapi na ikafanye nini.. gari yoyote haitaki mikono mingi, haijalishi toyota au mjerumani .. polisi wapo rough kila mtu ana uendeshaji wake lazima zife, polisi wa ulaya wanatumia gari gani kwani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom