Bimmer na Landcruiser V8

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,249
2,000
Dunia inabadirika watu wanafunguka akili, Amarok ni gari bora kabisa kuanzia site hadi town, ukitaka mwendo ndio mwake mle.. mnakimbiliaha offroad bado ina fanya vizuri na sio kila field zipo matakoni mwa nchi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sawa kabisa mkuu unajua kila gari inategemea na malengo na mfuko wako ukoje! Ukiwa na uwezo wa kusatisfy mahitaji ya gari husika unaweza hata agiza 2021 BMW X7 ukaipeleka kwenye mamito na makorongo ya huko site!

Ikiua kifaa unaandika cheque ya million 15 unaagiziwa πŸ˜… fasta! Umepasua sample unaandikia tu $5000 unaletewa wala haina shida! Mwenye hesabu kali hawezi kuishi humo!

Walioko cost concious ndio hao wanaotumia Hilux! Wapo watu wenye hela za kununua Amarok ila hawanunui kwani wao hawajui kwamba Amarok ina mvuto zaidi na gari ya hadhi zaidi!
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
8,714
2,000
Nyie wa kizamani hamuwezi ijadili ila sie wa kisasa hayo ndio maneno ... huwezi kimbia kitu kizuri mzee baba, na anae kimbia gari kali hata demu mkali hawezi mmudu atalia pia gharama

Hahah hujui ulisemalo aisee,yaani vitu cheap kama wanawake ndio uje uvilete kwny watu wenye deals za pesa kama zile?Watakushangaa sana maana hao wanawake unaowasema hua mpk wanakua imported kabisa na uchafu wanaofanyiwa sio wa kusimuliwa.Wale ni cheap products tu.

Kweli mtakua bado ni amatuers.Nimesikitika sana mzee.
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,249
2,000
Nyie wa kizamani hamuwezi ijadili πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ila sie wa kisasa hayo ndio maneno ... huwezi kimbia kitu kizuri mzee baba, na anae kimbia gari kali hata demu mkali hawezi mmudu atalia pia gharama
Hamna mtu anakimbia kitu kizuri na ndio maana kuna Maybach na A Class Benz! Unanunua kile ambacho unahisi kitakupa amani ya moyo!

Hilux sio gari baya just to make things clear. Kwa mtazamo wako labda ila its a great car lina amenities zote za gari ya kisasa! Its meant to be a workhorse sio gari ya kuuzia sura ile wala mashindanoπŸ˜…
 
9.8ms squared

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
7,139
2,000
Sawa kabisa mkuu unajua kila gari inategemea na malengo na mfuko wako ukoje! Ukiwa na uwezo wa kusatisfy mahitaji ya gari husika unaweza hata agiza 2021 BMW X7 ukaipeleka kwenye mamito na makorongo ya huko site!

Ikiua kifaa unaandika cheque ya million 15 unaagiziwa πŸ˜… fasta! Umepasua sample unaandikia tu $5000 unaletewa wala haina shida! Mwenye hesabu kali hawezi kuishi humo!

Walioko cost concious ndio hao wanaotumia Hilux! Wapo watu wenye hela za kununua Amarok ila hawanunui kwani wao hawajui kwamba Amarok ina mvuto zaidi na gari ya hadhi zaidi!
Wapo wa site wameanza agiza hizi Amarok, wanafunguka mkuu, watu wanatoka kwenye boksi
 
9.8ms squared

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
7,139
2,000
Hahah hujui ulisemalo aisee,yaani vitu cheap kama wanawake ndio uje uvilete kwny watu wenye deals za pesa kama zile?Watakushangaa sana maana hao wanawake unaowasema hua mpk wanakua imported kabisa na uchafu wanaofanyiwa sio wa kusimuliwa.Wale ni cheap products tu.

Kweli mtakua bado ni amatuers.Nimesikitika sana mzee.
Mnakimbia Amarok kwa reason cheap sana, wapo wakandarasi wanatumia hizo, na wapo walio karibu wanatumia German machine, na wapo kwenye game miaka na miaka, polucy ya company yenu na washauri wenu wa idara ya mitambo walio meza kuwa Toyota ni bora .. hakuna gari ya mjerumani inayoshindwa kufamya kazi ambazo toyota zinafanya jq zaidi ya hapo
 
9.8ms squared

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
7,139
2,000
Hamna mtu anakimbia kitu kizuri na ndio maana kuna Maybach na A Class Benz! Unanunua kile ambacho unahisi kitakupa amani ya moyo!

Hilux sio gari baya just to make things clear. Kwa mtazamo wako labda ila its a great car lina amenities zote za gari ya kisasa! Its meant to be a workhorse sio gari ya kuuzia sura ile wala mashindanoπŸ˜…
Napingana madai yake Hilux ni bora kuliko Amarok, na anakimbilia ku serve cost kila company ina policy zake, kuna company hawataki kabisa kusikia hizo Hilux , wao ni Nissan tu tusiingizane mkenge kama wote tumetoka mashomoni huko πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
8,714
2,000
Sawa kabisa mkuu unajua kila gari inategemea na malengo na mfuko wako ukoje! Ukiwa na uwezo wa kusatisfy mahitaji ya gari husika unaweza hata agiza 2021 BMW X7 ukaipeleka kwenye mamito na makorongo ya huko site!

Ikiua kifaa unaandika cheque ya million 15 unaagiziwa fasta! Umepasua sample unaandikia tu $5000 unaletewa wala haina shida! Mwenye hesabu kali hawezi kuishi humo!

Walioko cost concious ndio hao wanaotumia Hilux! Wapo watu wenye hela za kununua Amarok ila hawanunui kwani wao hawajui kwamba Amarok ina mvuto zaidi na gari ya hadhi zaidi!

Hahah na asikudanganye mtu eti watu wenye mipunga hua hawajui maguri mazuri.Jamaa hua ni watu wa mahesabu makali na wanakwambia kujibana bana hivyo ndio kumenifikisha hapa.

Mwenzao mmoja alinunuaga hummer 2 kitu 6.0 V8 zikiwa ndio zinabamba miaka hio,wenzake walikua wanamcheka kichizi wanamwambia anaendesha gari kubwa jinga.Huko field ni bure tu,wese halifai.Na waliokua wanacheka wao walikua wanatumia kitu cha 1HD-FTE.
 
9.8ms squared

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
7,139
2,000
Hela ipo mzee, ukiona matumizi hayana limit jua kipato cha kuzidi kipo! Kama unaingiza 200M kwa mwaka huwezi ogopa service ya million 15 kwa mwaka!
issue ni policy ya comapny na alie kwenye idara husika, kuna company policy ya idara ya mitambo inaaamini kwenye Ford , kwa swala la kujificha kwenye cost lina ukweli sawa ila pia watu wamekalili.. miaka ya nyuma fatilia kama Ford zilikuwa zinatumika site, ila sasa hivi zimekuwa kawaida kabisaa
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
8,714
2,000
Napingana madai yake Hilux ni bora kuliko Amarok, na anakimbilia ku serve cost kila company ina policy zake, kuna company hawataki kabisa kusikia hizo Hilux , wao ni Nissan tu tusiingizane mkenge kama wote tumetoka mashomoni huko

Na Co. Yenye fleet za Mjerumani tu ni zipi hizo mzee?
 
9.8ms squared

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
7,139
2,000
Hahah na asikudanganye mtu eti watu wenye mipunga hua hawajui maguri mazuri.Jamaa hua ni watu wa mahesabu makali na wanakwambia kujibana bana hivyo ndio kumenifikisha hapa.

Mwenzao mmoja alinunuaga hummer 2 kitu 6.0 V8 zikiwa ndio zinabamba miaka hio,wenzake walikua wanamcheka kichizi wanamwambia anaendesha gari kubwa jinga.Huko field ni bure tu,wese halifai.Na waliokua wanacheka wao walikua wanatumia kitu cha 1HD-FTE.
Inategemea na circle yako yenyewe Extrovert pale kijiweni miamba hawana huo ujinga wa kujificha kwenye machaka ya gari za kinyonge, sio field na sio town, inatehemea na circle yenu imejengeka kwenye misingi ipi..
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
8,714
2,000
Mnakimbia Amarok kwa reason cheap sana, wapo wakandarasi wanatumia hizo, na wapo walio karibu wanatumia German machine, na wapo kwenye game miaka na miaka, polucy ya company yenu na washauri wenu wa idara ya mitambo walio meza kuwa Toyota ni bora .. hakuna gari ya mjerumani inayoshindwa kufamya kazi ambazo toyota zinafanya jq zaidi ya hapo

Hahah aiseee,nitajie Co. Yenye fleets za ujerumani mzee ili tusiandikie mate wkt wino upo.
 
9.8ms squared

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
7,139
2,000
Na Co. Yenye fleet za Mjerumani tu ni zipi hizo mzee?
, hakuna sehemu nimesema kwamba kuna fleet nzima ya mjeruma, ila kila company ina policy zake kwenye issue ya magari na hii inatoka mtu wao au mshauri wao wa mitambo , unategeme nini kama mie nikiwa mkuu wa idara ya mitambo unafikiri nitashauri hizo gari zenu ? Unasemaje wanao tumia sehemu kuwa Ford ? Nissan ? zamani hizi gari hazikuwa zikitumika sana
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
8,714
2,000
, hakuna sehemu nimesema kwamba kuna fleet nzima ya mjeruma, ila kila company ina policy zake kwenye issue ya magari na hii inatoka mtu wao au mshauri wao wa mitambo , unategeme nini kama mie nikiwa mkuu wa idara ya mitambo unafikiri nitashauri hizo gari zenu ? Unasemaje wanao tumia sehemu kuwa Ford ? Nissan ? zamani hizi gari hazikuwa zikitumika sana

Kwa hio kuna uwezekano hizi top tier co. Zote zikawa na washauri wa aina moja sio?Kule juu hukuona nimekwambia field zimejaa Toyota na Nissan tu.?

Na nilikwambia takataka za ujerumani huko majumbani makwao wanazo wamenunulia wake zao/michepuko lkn hawana habari ya kuja nazo field.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom