BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Serikali imeweka bima ya afya kwa ajili ya watumishi wake, vivyo hivyo mashirika ya NSSF/PPF etc wameweka ajili ya wanachama wake. Natumai wanachama kuna kiasi wanakatwa na kupewa kadi.
Shida ni kwamba ukishafika hospitali wakigundua wewe una bima ya afya basi matibabu yanakuwa tabu na mwisho utaambiwa dawa hakuna uende pharmacy ukanunue. Je bima hii ya afya iba faida gani?
Kama kuna mtu ambae amesha faidi ipasavyo naomba ani kosoe lakini pia aseme ni hospitali gani amepata huduma.