Bima ya afya wanatoa matangazo yao afu wanafuta wenyewe

Barca

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,405
1,552
Bima ya afya wanatoa matangazo yao afu wanafuta wenyewe.
Wameongeza makato kutoka kiwango cha 18000 kwa sasa hadi 40000. Huwezi amini ongezeko la 122% hata katika kanuni za uchumi sijui kama zipo kama mshahara ni uleule afu unaongeza makato kwa % zote hizo.

Hawa mamenager wakati mwingine wanajitakia kutumbuliwa pasipo sababu. Naamini watawithdraw haraka as soon as possible . Hawajui kuwa mwakani ni mwaka wa uchaguzi. Kwanini wanataka kupandisha hasara wananchi pasipo sababu ili kuchonganisha serikali na wafanyakazi.

Nhif mjitafakari. Acheni kuwaza kuongeza hela tu bila kuangalia uhalisia wa maisha.
IMG-20191129-WA0017.jpeg
 
Wala hawajaongeza ni kuwa serikali imejiondoa kuchangia ile 3pc yake hivyo mzigo wote anabebeshwa mtumiaji
 
Back
Top Bottom