Kwa kweli muundo wa kiuendeshaji wa hii bima ni wa aina yake, ni kama hakuna mtu wa kuhoji utendaji wao. Wanafanya wanavyotaka, na huduma si nzuri kivile. Ajabu kumbe hata service providers wao hawaridhishwi na taratibu zao, na ndio sababu wanakuwa wazito kutoa baadhi ya huduma/dawa kwa wanachama wa mfuko kwa vile hata malipo yao yanapatikana kwa mbinde. Nina uhakika leo hii wafanyakazi wa serikali wangepewa uhuru wa kuchagua wengi wangejitoa au wangetoa maoni kuboresha hizi huduma kukidhi matakwa ya wateja wao (wachangiaji na watoa huduma).Makubwa ni haya
1. Unatozwa au kukatwa fedha kwa lazima
2. Hata kama umekuwa ensured na partner wako bado na wewe utakatwa tu
3. NHIF yenyewe ndiyo mdhibiti wa gharama mahospitalini,, wao ndiyo wanatoa bei elekezi ambazo zipo chini sana ukilinganisha na gharama halisi
4. Siyo huduma zote zipo ensured
5. Wanascrutinize sana form za malipo au kutoa masharti magumu sana kiasi kwambã hospitali nyingi hukosa mapato halisi
6. Wanafanya kazi za investment kama ujenzi wa hospitali huko Dodoma badala ya kujihusisha na kutoa huduma
NAPENDEZA
1. Kuwe na regulatory authority yenye meno kwenye bima, hii regulatory authority ndo ipange bei elekezi
2. NHIF idwell kwenye kutoa huduma bora kwa wateja wao kwa kuhakikisha hospitali (na hasa za serikali) zinapata mapato yao kwa haki
3. NHIF iache kutoa masharti ya kipuuzi kwa hospitali kwa nia ya kupunguza mapato ya huduma zilizotolewa.
Lmkuu hawa CHF wanapatikana wapiHii bima mtumishi mpya wa serikali ukiajiriwa ni unakutana na makato kwenye mshahara bila kuulizwa, hiyo ni kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma nadhani.
makato ni makubwa kwa mwezi yaweza kuzidi 50,000/= na yanaongezeka kulinga na mshahara. Tatizo linakuja kwenye kupata huduma, ni kero tupu. Ni kweli magojwa mengi yanatibiwa, lakini dawa unaambiwa hiyo Bima hawalipii, unapewa dawa mbadala. Watu wanaohudumiwa lazima uwe umewazaa,au wamekuzaa hii nayo ni nonsense, wategemezi wapo aina mbalimbali, wengine wana watoto ambao wameshajitegemea lakini anatunza wajukuu na mnamkata pesa yake.
Wanazidiwa hata na watu wa mfuko wa afya ya jamii CHF ambayo kwanza ni nafuu sana halafu inaruhusu umuweke mtegemezi yeyote unayemtaka ilimradi wasizidi idadi waliyoweka. Unaweza kulipia 10,000/= tu ukatibiwa mwaka mzima wewe na wenzako 6, hata upasuaji,kulazwa na huduma zote unapata!
Sasa wenzangu na mimi hawa NHIF pesa za wanachama wanapeleka wapi mbona kuna vizingiti vingi kwenye aina ya huduma na aina ya watu wa kuhudumiwaaaaa??? Inauma, na sijui ni ya nani hii kitu maana imekaa kumnyonya mchangiaji bila kuwajibika kumpa huduma ya kuridhisha, nani alitunga sheria kandamizi kiasi hiki???? Huduma nazo kuna baadhi ya watoa huduma naona wanawaangusha, unafika kituoni unapokea huduma ilimradi tu unaonekana wewe ni wa hali ya chini kuliko anayetoa pesa taslimu.
Inachosha,
Ntarudi.
Huu ni ujambawazi mchana kweupeeeee. Enough is enough. They have taken much for the owner to see. Magufuli naomba uwatumbue. overHii bima mtumishi mpya wa serikali ukiajiriwa ni unakutana na makato kwenye mshahara bila kuulizwa, hiyo ni kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma nadhani.
makato ni makubwa kwa mwezi yaweza kuzidi 50,000/= na yanaongezeka kulinga na mshahara. Tatizo linakuja kwenye kupata huduma, ni kero tupu. Ni kweli magojwa mengi yanatibiwa, lakini dawa unaambiwa hiyo Bima hawalipii, unapewa dawa mbadala. Watu wanaohudumiwa lazima uwe umewazaa,au wamekuzaa hii nayo ni nonsense, wategemezi wapo aina mbalimbali, wengine wana watoto ambao wameshajitegemea lakini anatunza wajukuu na mnamkata pesa yake.
Wanazidiwa hata na watu wa mfuko wa afya ya jamii CHF ambayo kwanza ni nafuu sana halafu inaruhusu umuweke mtegemezi yeyote unayemtaka ilimradi wasizidi idadi waliyoweka. Unaweza kulipia 10,000/= tu ukatibiwa mwaka mzima wewe na wenzako 6, hata upasuaji,kulazwa na huduma zote unapata!
Sasa wenzangu na mimi hawa NHIF pesa za wanachama wanapeleka wapi mbona kuna vizingiti vingi kwenye aina ya huduma na aina ya watu wa kuhudumiwaaaaa??? Inauma, na sijui ni ya nani hii kitu maana imekaa kumnyonya mchangiaji bila kuwajibika kumpa huduma ya kuridhisha, nani alitunga sheria kandamizi kiasi hiki???? Huduma nazo kuna baadhi ya watoa huduma naona wanawaangusha, unafika kituoni unapokea huduma ilimradi tu unaonekana wewe ni wa hali ya chini kuliko anayetoa pesa taslimu.
Inachosha,
Ntarudi.
Makubwa ni haya
1. Unatozwa au kukatwa fedha kwa lazima
2. Hata kama umekuwa ensured na partner wako bado na wewe utakatwa tu
3. NHIF yenyewe ndiyo mdhibiti wa gharama mahospitalini,, wao ndiyo wanatoa bei elekezi ambazo zipo chini sana ukilinganisha na gharama halisi
4. Siyo huduma zote zipo ensured
5. Wanascrutinize sana form za malipo au kutoa masharti magumu sana kiasi kwambã hospitali nyingi hukosa mapato halisi
6. Wanafanya kazi za investment kama ujenzi wa hospitali huko Dodoma badala ya kujihusisha na kutoa huduma
NAPENDEZA
1. Kuwe na regulatory authority yenye meno kwenye bima, hii regulatory authority ndo ipange bei elekezi
2. NHIF idwell kwenye kutoa huduma bora kwa wateja wao kwa kuhakikisha hospitali (na hasa za serikali) zinapata mapato yao kwa haki
3. NHIF iache kutoa masharti ya kipuuzi kwa hospitali kwa nia ya kupunguza mapato ya huduma zilizotolewa.
Makubwa ni haya
1. Unatozwa au kukatwa fedha kwa lazima
2. Hata kama umekuwa ensured na partner wako bado na wewe utakatwa tu
3. NHIF yenyewe ndiyo mdhibiti wa gharama mahospitalini,, wao ndiyo wanatoa bei elekezi ambazo zipo chini sana ukilinganisha na gharama halisi
4. Siyo huduma zote zipo ensured
5. Wanascrutinize sana form za malipo au kutoa masharti magumu sana kiasi kwambã hospitali nyingi hukosa mapato halisi
6. Wanafanya kazi za investment kama ujenzi wa hospitali huko Dodoma badala ya kujihusisha na kutoa huduma
NAPENDEZA
1. Kuwe na regulatory authority yenye meno kwenye bima, hii regulatory authority ndo ipange bei elekezi
2. NHIF idwell kwenye kutoa huduma bora kwa wateja wao kwa kuhakikisha hospitali (na hasa za serikali) zinapata mapato yao kwa haki
3. NHIF iache kutoa masharti ya kipuuzi kwa hospitali kwa nia ya kupunguza mapato ya huduma zilizotolewa.
Daah yaani jamaa wa NHIF ukikosea tu hata herufi kwenye fomu zao,hela hawakulipi,ndo maana hospitali wanaogopa sana kupoteza mapato kwa kuhudumia watu wa bimaMakubwa ni haya
1. Unatozwa au kukatwa fedha kwa lazima
2. Hata kama umekuwa ensured na partner wako bado na wewe utakatwa tu
3. NHIF yenyewe ndiyo mdhibiti wa gharama mahospitalini,, wao ndiyo wanatoa bei elekezi ambazo zipo chini sana ukilinganisha na gharama halisi
4. Siyo huduma zote zipo ensured
5. Wanascrutinize sana form za malipo au kutoa masharti magumu sana kiasi kwambã hospitali nyingi hukosa mapato halisi
6. Wanafanya kazi za investment kama ujenzi wa hospitali huko Dodoma badala ya kujihusisha na kutoa huduma
NAPENDEZA
1. Kuwe na regulatory authority yenye meno kwenye bima, hii regulatory authority ndo ipange bei elekezi
2. NHIF idwell kwenye kutoa huduma bora kwa wateja wao kwa kuhakikisha hospitali (na hasa za serikali) zinapata mapato yao kwa haki
3. NHIF iache kutoa masharti ya kipuuzi kwa hospitali kwa nia ya kupunguza mapato ya huduma zilizotolewa.
Heee, kumbe ndivyo ilivyo! Hata benki ukipoteza ID bado unaendelea kupata huduma wakati wakikuandalia kitambulisho kipya.tena usilogwe upoteze kitambulisho ukitoa taarifa kuja kukupa kibali mpaka wiki mbili zipite ukiumwa hapo katikati umekwisha hawakutambui na hata wakikurejeshea kitambulisho deni lililopo ulipe mwenyewe utadhani ww ni mteja mpya yaani ni manyanyaso tu
Nangojea kusikia mtu anayewaongelea positively, hivi mazuri yao ni yapi? Nini kilikuwepo kabla hii bima haijaanzishwa (wa miaka hiyo mtujulishe)? Wameboresha nini kwenye suala la matibabu hasa kwa watumishi na wategemezi wao? Natamani kusikia huu upande wa pili.....Siwapendi....
Nangojea kusikia mtu anayewaongelea positively, hivi mazuri yao ni yapi? Nini kilikuwepo kabla hii bima haijaanzishwa (wa miaka hiyo mtujulishe)? Wameboresha nini kwenye suala la matibabu hasa kwa watumishi na wategemezi wao? Natamani kusikia huu upande wa pili.....