Informer
JF-Expert Member
- Jul 29, 2006
- 1,582
- 6,627
Wakuu,
Zipo kampuni nyingi zinazotoa huduma za Bima ya Afya nchini lakini zote zina mazuri na kasoro zake.
Mjadala huu unalenga kuzichambua kampuni hizo na kuangalia packages walizo nazo, benefits na changamoto za bima/kampuni husika.
Nawakaribisha kwa mjadala ili tuwasaidie wale wanaotafuta jibu mbadala kwa ajili ya bima za afya zao au za familia zao.
NB: Sitarajii mjadala utageuka ubao wa matangazo