Bima ya Afya kwa watoto

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,371
3,937
Wakuu,tumepanga kumkatia bima kwa matibabu kijana wetu.Nimeanzia NHIF kwa mwaka unalipa 50,400/ ila kuna hii ishu ya kupata usumbufu wakati wa huduma yenyewe,namaanisha foleni.

NHIF mara nyingi sana ni kwa hospitali za serikali ambazo mara zote zinalemewa na huduma hali inayosababisha msongamano.Bima ipi nyingine inafaa na ambayo ukiangalia gharama yake inalipika kwa mtu wa kawaida kama mimi?Jubilee? Strategis au wapi wadau?naombeni mawazo yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja wataalamu waje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom