Kuhani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2008
- 2,944
- 64
Jamani muoneeni huruma Aluta amejichanganya...alikuwa a little bit confused btwn life and health insurance...he/she did admit kuwa he/she meant Life insurance and not health!...
A little bit confused? Kwa hiyo Kelly unamsafisha Aluta?
Una minimize hii mkanganyiko ya figures? Ku "confuse" policy figures zako mwenyewe?
Okay, na hili la ku suggest kwamba Watanzania wanakufa kwa kukosa health insurance nalo utamsafisha vipi? Maana ndivyo alivyoanza mada yake: Wabongo tunakufa majuu hivyo tufikirie "health insurance."
Sasa Kelly, ungetusaidia, huyu Aluta anajuaje kwamba Watanzania nje ya nchi tunakufa kwa kukosa matibabu kwa kutokuwa na bima ya afya? LOL!