Bima ya Afya kwa kila mwananchi, maswali mengi kuliko majibu!

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
SERIKALI imetamka kwamba, inapendekeza kupitishwa kwa sheria ambayo inataka kila mwananchi lazima awe na Bima ya Afya Nchini, mfumo utakaowawezesha kupatiwa matibabu kwa gharama nafuu kuliko ilivyo sasa.

Wakati wa Mkutano wa Bunge la Bajeti, Naibu Waziri wa Afrika, Dk. Hamisi Kigwangallah, alikaririwa akisema kwamba zoezi la kuhakikisha kila mwananchi anahudumiwa kwa kupitia mfumo wa Bima ya Afya linaendelea.

Soma=> http://www.fikrapevu.com/bima-ya-afya-kwa-kila-mwananchi-maswali-mengi-kuliko-majibu/
 
Naibu Waziri wa Afrika! Rejea ndugu
 
Back
Top Bottom