Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,547
- 1,421
Natamani sana kujiunga na huduma za bima ya afya lakini kuna mambo naona kama hayako sawa. Kama tunavyojua kwamba bima tunailipa pesa ili tuuguapo tupatiwe matibabu.
Kwanini ukienda kutibiwa unaweza kuambiwa dawa zako hazipo wakati ni kazi yao kuzitafuta?
Cha ajabu utaandikiwa ukanunue pharmacy tena kwa hela yako, kwanini usipewe keshi ya kununulia dawa hizo?
Nini maana ya kuwa na bima inayokwepa uwajibikaji wake kwa wateja wake wakati pesa inavuta?
Sijataja bima ya aina yoyote hapa kwa kulinda biashara za watu ila nyingi zina hako kamtindo.
Anyways nisiwachoshe huenda kuna kitu sijaelewa nisaidieni huenda nami nikashawishika kujiunga.
Asanteni