Bima ya afya kukosa dawa kwa wateja wake ni sawa?

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
772
500
Natamani sana kujiunga na huduma za bima ya afya lakini kuna mambo naona kama hayako sawa. Kama tunavyojua kwamba bima tunailipa pesa ili tuuguapo tupatiwe matibabu.

Kwanini ukienda kutibiwa unaweza kuambiwa dawa zako hazipo wakati ni kazi yao kuzitafuta?

Cha ajabu utaandikiwa ukanunue pharmacy tena kwa hela yako, kwanini usipewe keshi ya kununulia dawa hizo?

Nini maana ya kuwa na bima inayokwepa uwajibikaji wake kwa wateja wake wakati pesa inavuta?

Sijataja bima ya aina yoyote hapa kwa kulinda biashara za watu ila nyingi zina hako kamtindo.

Anyways nisiwachoshe huenda kuna kitu sijaelewa nisaidieni huenda nami nikashawishika kujiunga.

Asanteni
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
34,039
2,000
dawa zipi ulizokosa ?Kwani mkataba wako wa huduma ni dawa tu?

Usipokata bima utalipia cash usitake kubabaisha watu.
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
4,182
2,000
E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,951
2,000
Natamani sana kujiunga na huduma za bima ya afya lakini kuna mambo naona kama hayako sawa. Kama tunavyojua kwamba bima tunailipa pesa ili tuuguapo tupatiwe matibabu.

Kwanini ukienda kutibiwa unaweza kuambiwa dawa zako hazipo wakati ni kazi yao kuzitafuta?

Cha ajabu utaandikiwa ukanunue pharmacy tena kwa hela yako, kwanini usipewe keshi ya kununulia dawa hizo?

Nini maana ya kuwa na bima inayokwepa uwajibikaji wake kwa wateja wake wakati pesa inavuta?

Sijataja bima ya aina yoyote hapa kwa kulinda biashara za watu ila nyingi zina hako kamtindo.

Anyways nisiwachoshe huenda kuna kitu sijaelewa nisaidieni huenda nami nikashawishika kujiunga.

Asanteni
Mimi naishauri serikali iachane na huo mpango badala yake kila mwananchi afungue bank akaunti ambayo fedha zake za bima ataziweka kwenye akaunti hiyo na akapewa kadi maalumu ambayo akienda hospitali au duka la dawa atalambisha kadi hiyo na kupewa huduma, hao watumishi wa NHIF wametuibia vya kutosha tumechoka nao
 
Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,373
2,000
Natamani sana kujiunga na huduma za bima ya afya lakini kuna mambo naona kama hayako sawa. Kama tunavyojua kwamba bima tunailipa pesa ili tuuguapo tupatiwe matibabu.

Kwanini ukienda kutibiwa unaweza kuambiwa dawa zako hazipo wakati ni kazi yao kuzitafuta?

Cha ajabu utaandikiwa ukanunue pharmacy tena kwa hela yako, kwanini usipewe keshi ya kununulia dawa hizo?

Nini maana ya kuwa na bima inayokwepa uwajibikaji wake kwa wateja wake wakati pesa inavuta?

Sijataja bima ya aina yoyote hapa kwa kulinda biashara za watu ila nyingi zina hako kamtindo.

Anyways nisiwachoshe huenda kuna kitu sijaelewa nisaidieni huenda nami nikashawishika kujiunga.

Asanteni
Nikusaidie kitu mkuu.. siku hizi NHIF wamesajiri pharmacies za kutosha sana.. cha kufanya, ukienda kutibiwa na bima, wakikuambia dawa hakuna, waambie wakujazie form fulani hivi ambayo itakuwezesha kupata dawa bila niongeza ya malipo kwenye hizo pharmacies zilizosajiriwa!

Ahsante!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom