Bima/Mfuko wa kufa na kuzikana ni fursa Wizara ya Afya

THE BOILER ROOM

JF-Expert Member
Sep 17, 2018
1,054
3,210
Ukitazama juu juu tu kwa kutumia S.W.O.T analysis (Strength, Weakness, Opportunity,Threat) unaweza kuona mnyororo wa thamani katika masuala mawili makubwa, suala la kiuchumi na suala la kijamii.

Wananchi wa chini wanapata shida sana kupitisha daftari pamoja na kukausha akiba zao tatizo la msiba linapotokea kwa kuwapoteza wapendwa wao, mara nyingi msiba hutokea ghafla.

Naamini tukirasimisha hii sekta kuna faida nyingi za kijamii na kiuchumi pia zitajitokeza. Huduma hizi zinaweza kuwekwa kwa madaraja kutokana na mfuko wa wahusika.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom