BILLS mpya yachuniwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BILLS mpya yachuniwa

Discussion in 'Entertainment' started by Game Theory, Jan 16, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  taarifa ni kuwa baada ya FM aka poster mwenzetu humu kufanya ukarabati watu bado wanaendelea kuichunia na matokeo yake Bill pamejaa watindiga,wanyalukolo,wanyakyu na washamba wengineo ambao wanalipa 40,000 kama kiingilio wakati kule Graden Bistro kiingilio ni kile kile buku kumi

  hivi mlioenda humo bills mpya mnasemaje kuna kipaya u yale yale?
   
 2. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  sishabikii biashara za night club wala Bills ila nimesikitishwa sana na maneno yako ya kibaguzi na kikabila. Hivi GT unataka kusema Watindiga (sijui ni watu gani), Wanyalukolo na Wanyakyu (Wanyakyusa) ni washamba?!!! wewe kabila lako ndo la wajanja! LOL
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  kwani kuna ubaya gani mtu kuwa mshamba? kwani huko wanakotoka makabila hayo si ndiko kwenye mashamba makubwa makubwa nchi hii?

  mbona unaanza kuwa emotional bila sababu asubuhi hiii?

  Unless unaweza kunionyesha wapi neno mshamba ni tusi katika kiswahili sanifu
   
 4. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa offended na kutaja kwako hayo majina kuwa ni washamba! nafikiri ingekuwa vyema kama ungeiwakilisha hoja yako bila kutoa kashfa kwa kabila lolote katika nchi hii.Hii naiona ni kama kauli ya kibaguzi na inayolenga kwenye kuchochea ugomvi wa kikabila katika hili jamvi.

  GT, utakuwa mstaarabu sana kama utafuta kauli yako ya mwanzo na kuomba msamaha kwa waliokasirishwa na kitendo chako cha kuyakashifu makabila yao nikiwemo mimi niliyeandika post hii.

  Nasubiri utekelezaji.
   
 5. Wakunyuti

  Wakunyuti JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mhhhh..!! sio GT
   
  Last edited: Jan 16, 2009
 6. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So sie tulitoka huko mashambani washamba sio; wewe umetoka wapi? ukoo je? kabila lako ni lipi ambalo ni la wajanja; unaweza kuprove kuwa kabila lenu wote hawaendi; najua unapigia debe hiyo yako lakini shirikisha ubongo kidogo ndg sio kukashifu watu ovyo namna hii
   
 7. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So sie tulitoka huko mashambani washamba sio; wewe umetoka wapi? ukoo je? kabila lako ni lipi ambalo ni la wajanja; unaweza kuprove kuwa kabila lenu wote hawaendi; najua unapigia debe hiyo yako lakini shirikisha ubongo kidogo ndg sio kukashifu watu ovyo namna hii; mtu mwenyewe hata hujafika hapo unaanza kulalama hapa;ukifika je? I term this is SICKNESS
   
 8. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ni nani sasa kama sio GT? Au unataka kusema kaibiwa password? Kama ndivyo basi atakuja mwenyewe kuikana kauli hiyo ya kibaguzi na kikabila. Na kama akikaa muda mrefu bila kuikana, basi maybe tuamini either huyo ndo GT wa sasa au maybe GT halisi hayupo tena humu JF na wala hajui kinachoendelea !
   
 9. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  GT vp? Umetumwa na Gadern Bistro ufanye marketing while sabotaging BILLS???.

  Kuhusu maneno "mshamba" naomba nikukumbushe kule Sekondari kwenye Kiswahili wakati tunasoma somo la fasihi kwamba fasihi simulizi hubadilika kulingana na mazingira. This means inategemea na unachokiongea, ni wakati gani, ni wapi na ni kwa nini? Ukienda gereji ya magari utasikia mafundi gari wanatukanana "kichwa kama gia box", likewise, kwa wauza mitumba utasikia "kichwa kama robota la mitumba" It is all about the sorrounding environment!! Ni kama iliyo kwa maeneo ya bara kwamba kuna maneno yakitamkwa bara yanaonekana matusi lakini kwa Pwani shega tu, hata baba na mtoto wanabadilishana, shwari tu.

  Coming to our topic, kumwita mwenzako mshamba (leaving apart whether it is defined by TUKI or not) kama ilivyozoeleka ni KASHFA! Am sure kwenye kamusi ya Kiswahili sanifu, japo sipo nayo hapa, wameelezea maana ya mshamba closer to what is taken to mean in our society.

  Hivi uligunduaje kwamba BILLS wamejaa washamba wanaolipa 40K? Au na wewe uliaamua kuwa Mtindiga? Hata hivyo kwa definition yangu binafsi, mshamba ni kinyume cha neno mjanja! Sasa je, nani mshamba anayelipa 40K Bills au 10K Gadern Bistro.

  Kama kwa definition ya GT, wa 40K ndo mshamba nafikiri atarudi palepale kwamba anayekwenda Masaki Gadern Bistro ndo mshamba zaidi if he/she is using a tax for e.g. for go & return. Kwa Bills full daladala mzee, but Masaki either "uprint" au tax though inategemea mtu anaishi wapi.

  NAOMBA KUWAKILISHA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Turudi kwenye HOJA

  hivi mlioenda humo bills mpya mnasemaje kuna kipaya u yale yale?

  then tutaanzisha thread nyingine ya kujadili "u-shamba" na "u-mjini"
   
 11. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #11
  Jan 16, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,847
  Likes Received: 2,423
  Trophy Points: 280
  nimepita pale ..uwongo mbaya jamaa wamejitahidi sana...hakuna club inayoifikia bills tanzania kwa sasa...alafu kingine walichonifurahisha ni kuwa ile barabara ya mkwepu kwenye ile parking yao kote wameweka pavements na vigae chini ....hafi access road..kwa kweli amefanya pale kote pakabadilika...na ni mfano kwa wafanya biashara wenye uwezo wa kujenga barabara za mitaa yao kwa feza zao waige pale.....maana unakuta mtu amejenga jumba la bilioni 2 ...lakini barabara ya kwenda kwake ya milioni 300 anaona ubahili kujenga ...na kufanya hata heshima na dhamani ya nyumba yake isionekane....

  hongera billicanas group.!
   
 12. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Mimi nimeenda pale juzi kihisia.Kwa kweli ni sehemu ya "serious clubing people"Sasa na wewe kaka hiyo "rinovesheni" yote hiyo unataka kiingilio kiwe buku 10 au 5 za sound????acheni hizo.Starehe gharama bana na kama huwezi kecheze disco vumbi,mbona Yombo Dovya zipo nyingi tuu!!
   
 13. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Badala ya kusikia maneno ya kusimuliwa, nakushauri mkuu uende mwenyewe ukajionee
   
 14. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  GT inaelekea ana damu ya kijani kwahiyo kitu chochote ambacho hakielekei "KICCM" ni kitu cha washamba tu ; wajajnja ndio hao wa RICHMOND, EPA, DEEP GREEN, MEREMETA etc. Siku zenu zinahesabika mtaipata fresh!!
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wewe una matatizo yako na Mbowe... Hao washamba ndio wana-afford na macheki-bobu wenzako wako Bistro wanakula kashata za wahindi, rejea vyanzo vyako vya habari halafu angalia kama wanaweza 10k au 40k; ukishamaliza angalia hao washamba halafu ukalale

  Mshamba my @$$
   
 16. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Wawo wawo! kama ninaona double double vile, au mimi ndio nina makengeza nini jamani? Baba_Enock,, Game Theory!

  jamani kazi njema
   
Loading...