Billionaire father: £40 million to any man who marries my lesbian daughter

nimeisoma habari tena, the dad has slept with 10k women!! (super straight man lol), sijui kama lesbian daughter ndio malipo ya ufuska alioufanya?? its a bit funny when you think about it for too long
 
Nimeshindwa kuchangia hapa manake the whole saga is too good for me to say something!!
 
Nothin bt a spoiled brat.. Mebbe she's trying to get back at her father for being a womanizer..
 
Aaa sasa naanza kujua kwa nini mtu falani maarufu kwenye jukwaa la siasa anakupenda sana Boflo,i was asking myself
 
Kaunga .....

If he thinks he has failed as a father because she is lesbian, he's wrong. He has failed as a father for not accepting her for who she is.


Mkuu.. Nadhani utamaduni wao ni kama wa kiafrika.. So cidhani kama unaweza kumlaumu kwa kushindwa kukubali kwamba mwanae ni lesbian.. Bt naunga mkono wazo la kukuomba ukawakilishe JF katika kujaribu "kumuokoa" binti wa tajiri.. Naanza kupiga mahesabu ya matumizi ya hizo dola 40M...
 
Back
Top Bottom