Billion 90 zinachotwa wizara moja tu ya nishati,wizara 10 sh ngapi? wapi pesa za madaktari jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Billion 90 zinachotwa wizara moja tu ya nishati,wizara 10 sh ngapi? wapi pesa za madaktari jamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Feb 8, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,481
  Likes Received: 5,717
  Trophy Points: 280
  Unaweza soma gazeti la leo ukahis kinyaa kuishi hii nchi
  watu wachache awazidi kumi wanaiba billion 90..wizara moja
  ukifanya mahsabu wizara 10 wanaiba sh jumla billion 900
  na hizi ni wale walioshindwa kugawana wakaamua kusauana wacha zile
  zilizofichwa..je hii nchi manasema inaitaji kukopa nje??

  Je kama wanauwezo wa kuiba billion 90 kwa wizara moja pesa za ma dk azizidi bilion
  300 kwa nini wasitoe watu waendelee na maisha ya kutibu wa gonjwa ..kama pinda anasema\
  awana hela hizi wanazoiba billion 90 tena zimeibwa wakati wa mgao wa umeme kupitia issue ya kununua mafuta ya iptl...watu wamekalia kiti wana piga mluziiiiiiiiiiii huku wengine wanakufa jamani jamani

  raisi hizi hela mnazo kwa nini msitoe mwaka huu ma dk mwakani walimu ..mwaka ujao ma eng unaofwata unatuachia weziiii tufunge vizuri na wewe bot jamani kwa nini hiviiiiiiiiii????iptl nasoma amekopa billion 200 bot kumbe anachpofanya ni kuchukua hela hum humu mtaji uko tanzania jamani msikimbie hii nchio hata siku moja akili yako tu

  ifike sasa time tuseme imetosha kama kula kila mtu afungue mdomo kwa mkao wa kula kwa garama za maandamano na nyinginezo..msiogope damu damu ni moja ya alam ya ushindi
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  watu wanagoma huku wakijua fedha zipo.
   
 3. isasuna

  isasuna Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Mi nilisikia nchi imefilisika kumbe
  bado tupo fit kiuchumi!
   
Loading...