Billion 7 Zatengwa Kwa Kampeni Ya FIFA World Cup 2010: Wapi tunakoelekea?

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,268
333
Wana JF nimepita kwa Michuzi ni kakutana na hii habari, kinachoniuma ni Serikali kutumia pesa hizi na kusahau kuwa kuna kina mama wanajifungulia nyumbani kwa kukokosa hata usafiri wa baiskeli kuwawahisha kwenye kituo cha afya,kinachobaki ni serikali kutumia kiasi chote hiki kwa maandalizi haya, hapo hawajaongelea Gharama za kuigharamia timu ya Ivory Coast kwa juma zima,wakati timu yetu tulishindwa hata kufaulu kucheza African Cup of Nations. Je hizi Gharama zote ni za nini?

Mdau na member bofyeni hapa http://issamichuzi.blogspot.com/2009/12/tanzania-yajiandaa-vyema-na-kombe-la.html#comments
 
Kaka hii ndiyo awamu ya nne, ina vipaombele vyao na mojawapo ni kama hiki.

Hao wanaokufa kwa mafuriko, na kina mama vijijini wanajifungua wa matatizo ndiyo "maisha bora kwa kila mtanzania"

we ushashangaa mbona hizi chache tu?
 
That aside naona kama wanakumbuka shuka asubuhi, wenzetu walianza preparation zamani.
 
Good move..u have to extend ua adverts more and more to the world....

Good what? tuna viwanja vingapi vinavyokidhi viwango wa kimataifa ili timu zije kuweka kambi kwetu?

Its true, tunakumbuka shuka kumekucha, watu wameanza kuandaa miundombinu miaka 6 kabla, wewe unajianda miezi 9 ijayo...sisi ni zimamoto miaka yote, kuna ukweli kuwa tuna matatizo ya kufikiria hatuko "proactive"

nafikiri tatizo hili ni la kurithi....na litatughalimu sana.
 
hayo ndo madhara ya kuwa na rais wa nchi anayeingia madarakani bila kujua strategy yake ni nini?hana vipaumbele at all!!!! i wish angekuwa hata na 1% ya thinking ya Obama
 
Hii ni njia mojawapo ya kujipatia pesa za kampeni za Ubunge, kwani kuna habari kutoka Mtanzania Daima inayosema Mawaziri na Wabunge wameanza kwenda kwenye makampuni kutafuta pesa za kampeni. Nafikiri na hii ni njia mojawapo ya kujipatia pesa za kampeni za ubunge na sio kampeni za FIFA WORLD CUP.
 
mie maoni yangu ni kuwa hiyo pesa yote inakwenda kwa ccm kwenye uchaguzi mkuu.wamemuachilia ndulu ale 2.5 billion na wao ss wanakula 7......kuutangaza uwanja leo wakati ulijengwa 4 yrs ago.kawambwa pesa zetu walipa kodi tafadhali mshazila sana tuoneeni huruma.
 
Wana JF nimepita kwa Michuzi ni kakutana na hii habari, kinachoniuma ni Serikali kutumia pesa hizi na kusahau kuwa kuna kina mama wanajifungulia nyumbani kwa kukokosa hata usafiri wa baiskeli kuwawahisha kwenye kituo cha afya,kinachobaki ni serikali kutumia kiasi chote hiki kwa maandalizi haya, hapo hawajaongelea Gharama za kuigharamia timu ya Ivory Coast kwa juma zima,wakati timu yetu tulishindwa hata kufaulu kucheza African Cup of Nations. Je hizi Gharama zote ni za nini?

Mdau na member bofyeni hapa http://issamichuzi.blogspot.com/2009/12/tanzania-yajiandaa-vyema-na-kombe-la.html#comments

ahaa Kumbe serikali wana pesa siyo?, ningewaona wa maana wangezielekezea kwenye kuibua vipaji ya wanasoka vijana under 16 toka kata hadi taifa, kuwachukua watoto hata 200 tu na kuwapeleka soccer academy ya serikali(secondary ya mpira wa miguu ya serikali) , hapo tungepata kina drogba wa tanzania miaka 10 tu ijayo ( yaani 2020).

ila tuna pesa 7b eti kampeni ya FIFA, nina uhakika only 2b Zitatumika zingine 5b ni mifukoni wa wanjanja. wote tushakuwa wasanii nchi hii.

TFF kumbe ya nyie mna sera za zimamoto kama FAT ndoranga tu, hamna lolote la maana mtajivunia kwa sasa. na msivyo wa maana mtasema kumleta Drogba nayo ni perfomance yenu.

tuna safari ndefu wapenzi wa soka tanzania.....
 
Back
Top Bottom