Bill ya umeme mwezi huu ni 15,745.

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,370
3,956
Naona tanesco wameua kufanya yao ,hicho kiasi ndio nadaiwa mwezi huu kutoka kiasi cha wastani wa 45,000 kila mwezi.

Na hapo nimetumia units 71.

Ngoja nikachukue birika la umeme nichemshe maji ya kuoga.
 
NITUMIE NAMBA YA AKAUNTI YAKO, YA METER, NATAKA KUJA KUBADILI. SHIRIKA LINAKOSA MAPATO. TUTAKUWEKEA LUKU NA UTAIPATA JOTO YA JIWE MFYUU
 
Back
Top Bottom