Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,253
- 6,889
Unit moja ni 1660 mkuu..Tatizo nadhani ni sisi wenyewe. Wasomaji wa bili wanapewa kazi kwa kupewa target ya hela sio idadi ya mita.
Mfano: Mad Max hakikisha mwezi huu umekusanya shilingi Milion 10 kama bili ya maji.
Sasa hapo nikifika nakuta umetumia units 10 naweka 24 watu wenyewe hata hamfatilii.
Cha kufanya:
Kila mwisho wa mwezi mfano Tarehe 31/05 piga picha ya ile mita na zile namba, kisha ikifika tarehe 30/06 piga tena. Hafu tafuta tofauti.
Ukipata labda tofauti ni units 50.
Then zidisha mara gharama kwa unit moja (nadhani kama elfu 1 mia nane hivi kwa DSM).
Nyingine ikizidi labda gharama za uendeshaji ila haitazidi elfu 2.