Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
- Thread starter
- #161
CHANJO IPO NJIANI NCHINI TANZANIA... MUJINDAE.........
Utamkumbuka wewe na Ukoo wako, sisi tuko na mama sasa na tanzania inasonga mbele.TUTAMKUMBUKA KWA WEMA WAKE RAIS WETU MPENDWA HAYATI MAGUFULI MUNGU AIWEKE ROHO YAKE PEMA AMIN.
View attachment 1745010
Ma-Free-Mason wana lengo lao lakuwapunguza idadi ya watu duniani. Wanatumia pesa kwa nguvu ili wanazilazimisha Serikali Dhaifu na Masikini Kuchanja nguvu ili watimize yale waliyo yakusudia kuwa wauwa watu ili wapate watu duniani kupunguwa. Kwa kiasi fulani wamefanikiwa sana haswa Barani Afrika Baadhi ya Viongozi waliopo Madarakani wana njaa ya pesa wakisha onyeshwa pesa na wazungu basi chochote watakacho sema Wazungu hawatapinga.Wako tayari wawamalize Wananchi wao wanyonge ili wapate kumfurahisha mzungu. Baadhi ya Viongozi waKiafrika wana roho mbaya juu ya Wananchi wao.hili suala la chanjo ni tata. niliona clip mahali mdada wa kiisraeli analia akielezea jinsi gani watu waliogoma chanjo wanavyonyanyasika nchini. inaonekana huko mbeleni itakuwa ni lazima na sio hiari kuchanjwa.
Nimelia..... Nalia.....ππππππ
RelaxUtamkumbuka wewe na Ukoo wako, sisi tuko na mama sasa na tanzania inasonga mbele.
Msweet ni uongo. Mitandaoni kuna uongo mwingi sana kuhusu mambo mbali mbali likiweno hili la Bill Gates.
Makampuni na biashara zinahitaji watumiaji wengi wa bidhaa ili kupata faida zaidi
Sasa Bill Gate eti aseme watu 3b wafe yeye hataki faida kwa hao 3b?
Ni logic tu