Bill Gates: We Must Depopulate Africa to Save Europe

Wachambuzi wa mambo walilitabiri hili tangu mwaka jana wakati corona ndio inabamba na wakasema baada ya majamaa kuitengeneza hii kitu baadae watakuja na dawa/chanjo zao ili watupige hela ya kutosha.

Hii ni biological weapon. Na advantage ya kukuza uchumi pia kwa mataifa fulani fulani ya mabeberu
Hela zipi mlizonazo hadi waweke utaratibu wa kuwapiga pesa ?
 
Kwani Bill Gates yeye ni kama nani mpaka ani Force mimi nipige chanjo yake feki? Bill Gates sio Mungu ni binadamu kama binadamu wengine. Hana uwezo wowote kumzidi Mungu atakufa Bil gates siku zake zikifika. Sitokubali kupiga chanjo sio Bill Gates tu hata Rais wa nchi akini Force kupiga chanjo sitapiga itakuwa huyu Shetani Mkubwa wa dunia Bill Gates?
We ng'ombe acha kutumia YouTube, Microsoft word na products zote za Bill gate umekaa kulegeza pulu tu
 

Attachments

  • Screenshot_20210305-103051.jpg
    Screenshot_20210305-103051.jpg
    33.7 KB · Views: 1
View attachment 858351
Bill Gates: We Must Depopulate Africa To Save Europe source.Bill Gates: We Must Depopulate Africa To Save Europe | Light On Conspiracies - Revealing the Agenda


HATARI YA CHANJO KWA WATOTO MASHULENI
Nimeletewa taarifa na Wanangu kuwa Shuleni kwao watafanyiwa chanjo ya kichocho na Minyoo.

Nilishtuka na kumuandikia Mwalimu kwenye Diary```

NI MARUFUKU MWANANGU YEYOTE KUPEWA CHANJO YOYOTE KWANI SHULENI WAKWENDA KUSOMA TU NA SIO KITUO CHA TIBA```
Mzazi mwenzangu najua unaweza kushangaa kwanini nilichukua Uamuzi huu mkali.•

Bila shaka kwa mzazi anayelichukulia suala hili kijujuu na kwa wepesi. Au mzazi anayeamini kila kitu bila kuhakiki ataniona uamuzi wangu sio sahihi.

Lakini Mzazi anayetafakari na kutaka kujua atauliza``` KULIKONI

NA MAJIBU YANGU YANGEKUWA HAYA
1Shule ni taasisi zilizosajiliwa kisheria kwa lengo la kutoa Huduma ya Elimu tu na sio Huduma ya Afya na Tiba. Vipi mzazi makini unayemjali mwanao ukubali Tiba ya Mwanao itolewe shuleni badala ya Kituo cha Afya?

2Chanjo yoyote hutolewa ni aina fulani ya Vimelea hupandikizwa kwenye mwili je unahakika vimelea vitakavyopandikizwa ni salama kwa uhai wa Mwanao au

3 Hivi unafahamu kuna``` kampeni ya Siri ya kupunguza watu duniani kwa Chanjo (Depopulation by Vaccine)?

Kama hujui basi Umeliwa... Nchi kubwa duniani kupitia Mashirika makubwa dunia na Matajiri wakubwa duniani... Wameingiwa na hofu juu ya Ongezeko kubwa la Watu duniani na huwenda ongezeko hilp likasababisha Mapinduzi na kudai haki zao. Wakaratibu mpango wa kupunguza watu hususani kwenye Maeneo ambayo kwa mahesabu yao yanategemewa kuwa na Upinzani mkubwa.

Moja ya Makampuni hayo ni shirika la Tajiri mkubwa Dunian Bill Gate ma Mkewe linalojulikana kama Bill and Melinda Gate Foundation.

Leo duniani Taasisi ya Bill and Melinda Gates ndio taasisi Tajiri kupindukia. Taasisi hii inapewa msaada na wa Takriban Dola Bilion 34.6 na ziada ya Dola Bilion 30 kutoka kwa Tajiri mwingine mkubwa Aitwaye Warren Buffets. Kiasi hicho cha pesa ni sawa na bajeti yote ya shirika la Afya duniani (WHO)

Jiulize shirika binafsi la Mfanyabiashara linaloshughulika na Afya lina bajeti kubwa kuliko Shirika la Afya Duniani kwanini?

Jibu ni Rahisi Fedha hizi zinawawezesha kufanya Tafiti zao bila kuhitajia WHO. fedha hizo zinaweza kuwanunua wataalamu wa WHO na kuhonga Miradi yao ya kuwamaliza binaadamu ikapita bila kupingwa. Lakini kubwa na baya zaidi bajeti hiyo inawawezesha kutoa pesa, Madawa na Vifaa Tiba kwa Viongozi wa nchi masikini nao wakavikubali kutumia bila kuhakiki Athari yake.
Code:
[B]*KAZI KUBWA YA HUYU SHETANI MKUBWA NA PIA NI TAJIRI WA DUNIA MR BILL PAMOJA NA MKE WAKE BI MELINDA GATE*[/B]

Bila shaka kazi kubwa ya Shirika hili ni
Kupunguza watu duniani
Code:
 ili kuwafanya Matajiri waishi kwa Amani na starehe.

Akihojiwa juu ya Suluhisho la Ongezeko la Wahamiaji hamiaji kutoka Afrika huko Ulaya... Bill gate alijibu kuwa
Njia pekee ni kwa Nchi tajiri duniani kuchangia mradi wake wa kupunguza watu duniani kwa njia ya Chanjo

Rejea:

KENYA NA SKENDO UTOAJI MIMBA WA LAZIMA
Pia kama hufahamu. Madaktari huko ””0kenya waligundua mradi wa Shirika la Afya duniani unaofadhiliwa na Bill gate wa chanjo kwa Mabinti uliokuwa unavimelea vya siri vya kusababisha kuharibu Mimba za mabinti hao. Tukio hilo lilipelekea``` kanisa Katoliki
Code:
kenya kukataza Waumini wake kupokea chanjo hizo za serikali.
```

[B]MSAADA WA TASISI YA BILL & MELINDA GATE TANZANIA [/B]
```Pia shirika hili hutoa misaada ya kuyahonga mataifa masikini ili kupasisha miradi yake bila kupingwa. Siku chache baada ya taasisi ya Bill na Bellinda Gates kutembelea mkoa wa Tanga Tanzania Taasisi hiyo iliitengea nchi Tanzania Dola za Marekani milioni 350 (takribani Sh bilioni 777) kwa ajili ya Miradi mbalimbali ikiwemo Afya na tiba

SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)
Nchi nyingi masikini duniani zikitajiwa WHO basi wanaamini kila kitu.

Lakini mzazi kama mimi ninayefahamu kuwa WHO sio kitu chochote bali ni Taasisi inayosaidiwa na Bill & Melinda Gates kupitisha Miradi ya kumaliza watu duniani.

”Ukisoma report ya Fedha ya WHO kwa mwaka 1999 mpaka 2009. Utaona kuna Wahisani wawili tu ndio hutoa mchango mkubwa wa kuendesha WHO ambao ni serikali ya Marekani na Bill n Melinda Gate. Na kati ya hizo Mbili ni Shirika la Bill and Melinda Gate linaloongoza kwa mchango mkubwa.

KIKOSI KAZI NDANI YA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI LENYE KAZI YA KUPUNGUZA WATU
Mzazi makini lazima afahamu kuwa sio kila analolisikia kuhusu Shirika la Afya duniani ni salama la hasha.

Mwaka 1972 shirika hili liliunda kikosi kazi (Task force na kupewa dhamana ya kufanya Tafiti na kutengeneza Chanjo zitakazosaidia kupunguza watu duniani.

Chanjo hizo zimekuwa zikisambaza duniani kote na kupatiwa bure kwa wananchi wakati mwingine bila kujua.

MWISHO
Mzazi anayempenda Mwanawe hawezi kukubali Afya ya mwanaee ikachezewa.

Mzazi makini ni yule anayemlinda mwanae na anayelinda kizazi chake kisiharibiwe.```

hime tuungane, Tupinge kampeni ya kuwafanya Wagumba na Tasa watoto wetu.

SOTE TUNA HAKI YA KUISHI

*Watumie na wengine


View attachment 858388
Machampioni wa huu utopolo wote wameingia mitini La Coruna, kashika usukani anafanya vitu vyake kwa raha zake, unabated.

Pole yako Tanzania nchi yangu kwa kuongozwa na wasiojali maisha ya watu wao. Waliomsabiria La Coruna ashindwe mwenyewe.

Looh! Ya kuwa badala ya kupambana sisi tumemwachia Mungu? Utu wetu uko wapi?

We must be nuts!
 
Is Gates European ?

By the way sijasoma vyote ulivyoweka hapo ila tuanzia hapa kwanza (Unaamini faida ya Uzazi wa Mpango) yaani kuzaa kulingana na uwezo wako sio kuzaa tu alafu jamii ndio ikusaidie kulea
 
Back
Top Bottom