Bill Gates mapumzikoni Pemba!

kisiwa cha mnemba kimekodishwa kwa miaka 99 kwa wataliano ( so the local ppl says)
kisiwa hiko hakiko pemba...kiko nje ya unguja ( labda bill gates kapata kisiwa chengine cha kwenda) ....ila kina uwanja wa ndege wake wenyewe, na watalii wa kawaida hawaruhusiwi kwenda ila walioteuliwa maalum kwa kupitia italia.

watu wa local walikipigia kelele sana hicho .......lakini ccm ikaamua kaa kawaida yake kupuuza maneno ya raia
 
Ndugu bill gates amekuwa anakuja visiwani mara nyingi hata mwaka jana alikuwa kule ni kweli kuna kisiwa fulani chenye hoteli haijulikani ni hoteli ya nani kwa sababu hata tra wanapojaribu kufuatilia huwa wanashindwa kisiwa hicho ndio kilichangia kwa kiasi kikubwa kumfukuzisha hata raisi mstaafu wa afkrika ya kusini kuna picha alipiga kule hata zuma aliwahi kutembelea kabla ya mbeki kujiuzuru wiki moja kabla

Umeanza eeh....
 
Mnemba Island Lodge

Hicho ndio kisiwa alichofikia Bill Gates na kinamilikiwa na Waitaliano tena nasikia wamekinunua kabisa na mkubwa mmoja. Room kurent ni around $1500 per night. Na huko washaenda macelebrity kibao kama Will Smith, Denzel Washington, Angelina Jolie na Brad Pitt na wengineo wengi.
 
Huyo bwana anamambo megi kweli Fedha inamambo kafanya yote sasa ka amua kupunzika pemba
 
CON7982.jpg
CON42.jpg

Ratio of guests to staff: 1 to 3
 
Nashauri ifutwe for obvious reasons

hii si mara ya kwanza Bill kwenda Pemba na hayuko peke yake

hawa jamaa huwa wanaenda Pemba for obvious reasons ...exclsive na hakuna mambo ya ublicity sasa mindhali mshailikisha na kama mnavyojua tuna LAZY MEDIA ambao kazi yao kushinda JF kunusa nusa news then kesho watatuma watu kwenda Pemba

sasa namna ya kudeal nao ni kama jamaa walivyofanya Namibia wakati Angelina Jolie alipoenda kujifungua

Kuwa shawishi locals kuwa hostile kwa hawa paparazi na kuripoti watu wanaojifisha kwenye vichaka na cameras

Pili of course uongozi kule Pemba kuwa more strict kulinda hadhi ya Pemba kama kisiwa cha ma tourists ambao wanataka Privacy na wasiotaka kusumbuliwa

Mbona Prince Harry alipokuwenda kule hakuna aliyetia neno?

Kuna umuhimu wa MEDIA BLACKOUT na yote kulinda high value tourists kama hawa na kuwaachia VISHUKA wanaotembea na chupa za maji bila kukunua kitu kwa Wakenya ambao wanataka watalii wengi lakini ukiangalia wanachokipata kujazana kwa hao wazungu ni kidogo

Hebu iondoeni kabla akina Kubenea na wenzie hawajaanza kufanya vurugu kele Pemba

Ndio lakini hili lina National Interest

the last thing we want ni kuinvite flies yaani kwenye hili inabidi tuwe na unspoken code

Naona hadi national interest inaongelewa kwenye hii topic. Jamani, tufafanulieni, national interest na Gates vinaendaje? Inaonekana ni phrase inayopenda kutupwa tupwa.

Ivi mbona sijapata kijarida changu wiki hii? namna gani tena, au ni fortnightly?
 
mnemba-island_mnemba-island_top_264_1.jpg


Ndio huku wakuu?
Kweli na mimi wacha nitijahidi nifike...honeymoooooon 2012 hiyo!
 
Ile historia inayosema yule mtemi wa msovero hatumtendei haki kuendelea kuwepo kwa hiyo historia eti alilaghaiwa na kuingia mikataba ya kilaghai.

Hiyo historia inapaswa kufutwa kabisa .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom