Bill Gates mapumzikoni Pemba!

Nashauri ifutwe for obvious reasons

hii si mara ya kwanza Bill kwenda Pemba na hayuko peke yake

hawa jamaa huwa wanaenda Pemba for obvious reasons ...exclsive na hakuna mambo ya ublicity sasa mindhali mshailikisha na kama mnavyojua tuna LAZY MEDIA ambao kazi yao kushinda JF kunusa nusa news then kesho watatuma watu kwenda Pemba

sasa namna ya kudeal nao ni kama jamaa walivyofanya Namibia wakati Angelina Jolie alipoenda kujifungua

Kuwa shawishi locals kuwa hostile kwa hawa paparazi na kuripoti watu wanaojifisha kwenye vichaka na cameras

Pili of course uongozi kule Pemba kuwa more strict kulinda hadhi ya Pemba kama kisiwa cha ma tourists ambao wanataka Privacy na wasiotaka kusumbuliwa

Mbona Prince Harry alipokuwenda kule hakuna aliyetia neno?

Kuna umuhimu wa MEDIA BLACKOUT na yote kulinda high value tourists kama hawa na kuwaachia VISHUKA wanaotembea na chupa za maji bila kukunua kitu kwa Wakenya ambao wanataka watalii wengi lakini ukiangalia wanachokipata kujazana kwa hao wazungu ni kidogo

Hebu iondoeni kabla akina Kubenea na wenzie hawajaanza kufanya vurugu kele Pemba
 
nilidhania JF is where we dare to talk openly.. ama?
 
Hizi 'national interests' nahisi kuna siku hata wanandoa watanyimana unyumba kwa sababu ya 'national interets'..........
 
GT,

Unajua nimekuwa nikiiangalia hii naona haieleweki eleweki.

Mwanakijiji anapenda kuleta habari kwa vifumbo fumbo (halafu hapo hapo anasema "we dare talk openly"). Hii ilivyokaa kama si sawa, kama wapemba hawanufaiki na utalii kumuweka Bill Gates at the center of the saga si sawa kabisa, kwa sababu yeye hatakiwi kuwa na interests za wapemba (ingawa Bill and Melinda Gates Foundation inatoa misaada Mafia na Pemba).Tuna serikali, viongozi, wabunge raia wenzetu, wako wapi? Wanafanya nini? wanahakikishaje safari hizi zinanufaisha wananchi wa kawaida? Halafu hizi mentality za kutegeshea kwenye natural resources ni noma, inabidi tusome tuweze kuwa na mental capital, siku wanyama, dhahabu na natural resources za hivi nyingine zikiisha tutakuwa wageni wa nani?

Mimi ninachoshuhudia sasa nii hii culture ya kuwa jumpy, which is not entirely a bad thing given our history and the entire history of the encounters of civilizations.

Concern yangu ni kwamba, inabidi tufikirie more originally, hizi habari za kusimama doria bandarini Zanzibar na kuangalia nani kaingia nani katoka na kuanza kupiga kelele bila ya kuwa na data, mwishowe tutampigia kelele Bill Gates anayeenda kutoa misaada ya "Bill and Melinda Gates Foundation" na kuwaacha masultani na wtaliani wanaokwiba kwa kalamu.Tunataka data, no data no right to accuse, no research no right to speak.

Na kuhusu wapemba wanafaidikaje ni swala relevant, lakini tuongelee utalii kiujumla, kumuweka Gates pale kunatoa picha kama vile Gates kaja kununua kisiwa Pemba halafu wapemba wamebanana, unless una scandal ya kumhusu Gates, kumchoresha hivi si sawa.

Reputation ni kitu muhimu sana katika mahusiano, na kama huna solid data kumpaka mtu matope, au kumuandika katika jinsi inayoweza kutafsirika kirahisi kama ni kumpaka matope, ni kitu kibaya sana.

Halafu tusitake shida zetu zote tuzimalize kwa sababu tu Bill Gates kaja Zanzibar, hizi zitakuwa fikra mgando. Ingawa mimi si mfuasi wa wanafalsafa wahafidhina, Ayn Rand alinifanya nifikiri aliposhambulia dhana nzima ya "ku transfer wealth" (if you are poor tax the rich) as opposed to the concepr of genuine wealth generation, tusije kuwa kama yule msafiri ambaye akiona kichaka tu haja inambana.Tutataka tupandishe bei za huduma kiholela kwa sababu yeye ni Bill Gates? Vipi mtu akisema Wapemba wanatakiwa wafaidike na kodi na fees anazolipa Bill Gates na kama hawafaidiki ni tatizo la serikali ya Zanzibar (huku ndiko ulikokuwa unaelekea mkuu? If so, spell it out usiache mambo hewani watu wakamwona Gates mitaa ya kati wakamshambulia bure, kumbe mtu kaja kutoa misaada)
 
Last edited:
....dayyyym! my blueray disc has been scratched.... won't play!!

Acha uzushi, Bluray zina protective cover, you are either hopelessly sloppy or must have mixed me with those pathetic DVDs.

I'm about to send you the 1000th disc, stay tuned !
 
Acha uzushi, Bluray zina protective cover, you must have mixed me with those pathetic DVDs.

I'm about to send you the 1000th disc, stay tuned !

...okaaay son, will get my top shelves cleared to pave way for the début!!
 
Acha uzushi, Bluray zina protective cover, you are either hopelessly sloppy or must have mixed me with those pathetic DVDs.

I'm about to send you the 1000th disc, stay tuned !

...okaaay son, will get my top shelves cleared to pave way for the début!!

... i guarantee my perceived sloppiness wont flop you either!!
 
Bluray bring it on.Hope its more than a one liner.Given your talent,cant wait for the treat,for both my eyes and brain.No dictionarys allowed.
 
...trust me, he definitely gonna go scot free as his nemesis is in absentia!!
 
Niliposoma headline nilishangaa na kujiuliza Bilionea Bill Gate na Pemba wapi na wapi. Kwa hoteli gani ya hadhi yake!?. Baada ya kuisoma, nimekubali. This country every thing is possible na Wapembe hawafaidiki chochote zaidi ya cesspit ni ndani ya bahari yao.
Niliwahi kutaka japo kupata kinyaji Dongwe Club Vicanze ya Taliano. Safari yangu iliishia getini. Baada ya kuonyesha ID yangu ya wakati huo, ndipi nikaruhusiwa kufika reception na kuambiwa masharti
1,On line booking.
2. Payment in US $
3. Deposit in Italy
4 only Credit card
Nikajichokea na kujiondokea zangu. Hiyo ni hotel bussiness Zanzibar gets nothing, itakuwa kisiwa?.

Pole Mkuu, ila lakini mbona ni utaratibu wa kawaida siku hizi kwa transnational hotels, travel ,etc. businesses? ... karibu kote.. (ukuacha haya mahoteli ya mitaani). Sisi Tz tukubali na kujifunza kuwa sehemu ya dunia.
 
Bluray bring it on.Hope its more than a one liner.Given your talent,cant wait for the treat,for both my eyes and brain.No dictionarys allowed.

Not to derail this thread, but to direct you to the answer to your question I send you here
 
Pole Mkuu, ila lakini mbona ni utaratibu wa kawaida siku hizi kwa transnational hotels, travel ,etc. businesses? ... karibu kote.. (ukuacha haya mahoteli ya mitaani). Sisi Tz tukubali na kujifunza kuwa sehemu ya dunia.
Kweli ni kawaida ila wenzetu are genuine, Wanzanzibari wanaingiza watalii wengi sana ila mapato yote yanabakia kwao ulaya, wao wanaambulia peanut, na serikali haiwezi kutract income, wanaonyeshwa vitabu vya local gain wakitoa cost inaonekana wanakula hasara, hawalipi kodi miaka na miaka na bado wapo tuu wakiendelea kugenerate loss.
 
Nashauri ifutwe for obvious reasons

hii si mara ya kwanza Bill kwenda Pemba na hayuko peke yake

hawa jamaa huwa wanaenda Pemba for obvious reasons ...exclsive na hakuna mambo ya ublicity sasa mindhali mshailikisha na kama mnavyojua tuna LAZY MEDIA ambao kazi yao kushinda JF kunusa nusa news then kesho watatuma watu kwenda Pemba

sasa namna ya kudeal nao ni kama jamaa walivyofanya Namibia wakati Angelina Jolie alipoenda kujifungua

Kuwa shawishi locals kuwa hostile kwa hawa paparazi na kuripoti watu wanaojifisha kwenye vichaka na cameras

Pili of course uongozi kule Pemba kuwa more strict kulinda hadhi ya Pemba kama kisiwa cha ma tourists ambao wanataka Privacy na wasiotaka kusumbuliwa

Mbona Prince Harry alipokuwenda kule hakuna aliyetia neno?

Kuna umuhimu wa MEDIA BLACKOUT na yote kulinda high value tourists kama hawa na kuwaachia VISHUKA wanaotembea na chupa za maji bila kukunua kitu kwa Wakenya ambao wanataka watalii wengi lakini ukiangalia wanachokipata kujazana kwa hao wazungu ni kidogo

Hebu iondoeni kabla akina Kubenea na wenzie hawajaanza kufanya vurugu kele Pemba
pathetic/cheap/lie
 
Hii kali ngoja niendelee kusubili naona GT kama kawa anataka hii kitu iondolewe naona kuna kitu nyuma ya pazia.
 
Hadi 2010 tutasikia mengi sana lakini kumbukeni mkuu wa kaya aliwambia waje wawekeze huku..... tujiandaeee
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom