Bill Gates had a video game created for microsoft windows called ‘omikron’

Can anyone volunteer to shoot Bill Gate? He is an evil animal. He must dye now or very soon. The World Happiness has been robbed by his lucifiric actions. He must perish.
 
Mtoa mada sijui kama ulijaribu kufanya 'fact check' toka kwenye source yako.

Nimegundua yafuatayo toka kwenye hoja ulizoleta.
1. Game la Omikron halijatengenezwa na bill gates kama ulivojaribu kutuaminisha. Limetengenezwa na Quantic Dream (kampuni ya ufaransa na haina mahusiano na bill gates)
Version ya kwanza ilitengenezwa ikiliwezesha kuchezwa kwenye windows platform na hapa ndipo mnapojaribu kulihusisha game hili na bill gates kwasababu tu game hili mwanzoni lilichezewa kwenye windows platform. Swali kwako mtoa mada, je nikitengeneza application ya kutumika kwenye mfumo wa android hiyo application inakua mali yangu au mali ya mmiliki wa android?

2. Hujatupa tafsiri ya neno omicron ni nini.
Kwa kifupi Omicron ni herufi ya kumi na tano katika mpangilio wa herufi za kigiriki, hivyo jina omicron halijaanzishwa na bill gates na litaendelea kutumika kama vile herufi nyingine za kigiriki zinavyotumika (Alpha, beta, omega nk)
View attachment 2036938
Yote hayo nayajua,ila utakuwa very stupid and loon kama wewe kama binadamu hii haikustui👉Omicron was the name of a 1999 video game by Microsoft and Bill Gates about demons pretending to be humans and harvesting their souls👈,hasa ukilinganisha na yale yanayotokea sasa na hii so called vaccine yake.Narudia please connect the dots,usiwe mjinga.
 
Braza, we ni tahira!
No offense.
Akili yako imesha haribiwa na conspiracy theories, kiasi kwamba unaamini kutoka moyoni huu upuuzi wote unaoandika,
Wadau kama Drifter na wengineyo wamejaribu kukuelekeza,
Hilo game la omikroni, sio wazo la bill gate, wala mali ya Microsoft.Limekua developed na company nyingine tofauti na kuwa realised kwenye OS kadhaa ikiwemo Window au MS-DOS kwa wakati ule.

Na kuhusu kirusi kipya cha uviko kuitwa omicron, ni jinsi gani WHO wamekubaliana ku name instances tofauti tofauti za huyu kirusi

Hakuna dot za ku connect, labda uwe tahira, na sijaona sehemu yoyote uki address hizo hoja zaidi ya ku divert attention kwa kukimbilia kwenye vitu vingine.

Hizo conspiracy theories, hata mimi naweza kuziandika, na nina hakika uta quote article yangu na kuileta hapa
Naweza kuandika conspiracy kuhusu mtu yoyote,na ikaaminiwa na wagonjwa kama wewe.

Hivi hujawahi jiuliza kwanini hizo conspiracy theories hazina mwanzo wala mwisho?
Always zinaanzia kati
Mbona hukuleta uzi wa kutuonya juu ya mpango wa WHO kukipa hiko kirusi jina hilo?, umesubiri wafanye hivyo kwanza?
Mbona hukuleta uzi kuhusu hilo Game la omikroni kabla ya corona?

Wamesubiri coincidence itokee, kisha waka connect two unrelated dots cause kuna matahira kama nyie mtanunua tu.

Kitu gani kinakufanya uamini Bill Gate ndio "Evil guy" na ana mpango mbaya wa kuangamiza dunia nzima, na sio Elon Musk au Jeff bezos ambao ni matajiri kuliko yeye?

Bill gate ni easy target ya conspiracy theorists ambao wanatumia laptop zinazo run Microsoft Windows kuchapisha upumbavu wao, na kwa msaada wa internet ambao Bill na Microsoft wameshiriki kuijenga, ukakufikia wewe.

The reason huo upumbavu ulioandika unafanya kazi kwako,.na utaendelea kufanya kazi mpaka mwisho wako. ni confirmation bias, tayari ushadanganywa na imani yako kuhusu upumbavu wa chapa ya mnyama na dunia moja itakayo tawaliwa na Marekani

So kila aina ya article itakayo ahidi ku confirm imani yako, utaiamini tu

Hakuna chapa ya mnyama, na baada ya miaka 40 ni China na sio Marekani

Nina uzi mpya najiandaa kuuchapisha, "Diamond alikufa kwa ajari Mwaka 2016,na huyu mpya ni clone yake kutoka illuminati, kwa sababu diamond alivunja Masharti ya kutokua na mtoto.

Umeona hapo, mwaka ni 2016?
Unajua namba 9 ni namba ya kafara inayotumiwa na Illuminati?
Connect dot genius, 2+0+1+6 =9????.woow
Yote hayo nayajua,ila utakuwa very stupid and loon kama wewe kama binadamu hii haikustui👉Omicron was the name of a 1999 video game by Microsoft and Bill Gates about demons pretending to be humans and harvesting their souls👈,hasa ukilinganisha na mipango mingi miovu ya kuua wanadamu na hii so called Covid vaccine yake.

Narudia please connect the dots,usiwe mjinga.
 
Yote hayo nayajua,ila utakuwa very stupid and loon kama wewe kama binadamu hii haikustui👉Omicron was the name of a 1999 video game by Microsoft and Bill Gates about demons pretending to be humans and harvesting their souls👈,hasa ukilinganisha na yale yanayotokea sasa na hii so called vaccine yake.Narudia please connect the dots,usiwe mjinga.
Naona unakimbilia kujibu comment bila kuzosoma. Game la omikron halijatengenezwa na microsoft wala halina uhusiano na bill gates. Narudia tena swali langu kwako, je kama leo nikitengeneza game la kucheza kwenye platform ya android hilo game ni la mmiliki wa android au ni langu?
 
Kama wewe ni mmiliki wa Android App uwezekano kwamba una uhusiano na hilo game,hasa kama hilo game linashabikia interests zako.

Mkuu Bill Gates ni Eugenist,na hilo game linashabikia Eugenics,kwa hiyo most likely anahusika nalo.
 
Nenda kasome kuhusu hilo game kisha rudi hapa utueleze ni wapi bill gates anahusika na hilo game, tupe 'facts' achana na mambo ya 'most likely'
 
Ata kama kuna ukweli au hakuna ila ni wazi Utajiri wake unamponza, jamaa anapenda sana kufadhiri project za Afya na teknolojia ndio mara nyingi kunamletea shida, ni kama kina Mo tu pamoja na mazuri mengi anayofanya kwenye jamii ila watu hawaoni watamsema kwa mabaya tu

Gate Anatumia zaidi ya robo ya utajiri wake kufadhiri tafiti mbalimbali na yapo mengi ambayo ameisaidia
Robo tatu ya watu wote duniani ni wajinga, lakini katika mataifa yanauoendelea ujinga ni tatizo kubwa zaidi.

Tatizo linakuwa kubwa zaidi pale ujinga unapokuwa hitaji msingi hapo ndipo hali inageuka mbaya zaidi.
 
Nenda kasome kuhusu hilo game kisha rudi hapa utueleze ni wapi bill gates anahusika na hilo game, tupe 'facts' achana na mambo ya 'most likely'
Kwani ataandika kwamba anahusika
directly, he is not all that stupid.

Halafu mimi nawashangaa sana,Bill Gates baba yake alikuwa Eugenicist,ukoo wake ni Eugenicists na Reptillians,kwa hiyo wao uovu uko kwenye damu,mtamteteaje kwamba hahusiki katika hili?Mambo kama haya kwa akina Bill Gates is part of their life,after all there is no evil they cannot do.
 
Mkuu naona hauna proof ya hoja yako. Ukipata proof nijulishe ili tuendelee na mjadala
 
Watu masikini kila kitu taabu tupu, fanyeni kazi acha kuwaza ujinga
 
... cha kushangaza hapo nini? Mkuu Cvez hapo juu katuwekea nomenclature ya virus vya corona; they are named after Greek alphabets (at least for now); haihitajiki akili yoyote kujua next kitaitwa kwa jina gani. Ni sawa na vimbunga; jina la kimbunga kitakachotokea 2040 tayari lipo kwenye list. Let's be free minded badala ya kutekwa na propaganda uchwara!

Cha kushangaza sana sio tu jina la mchezo " omicron" Bali kuwa mchezo wenyewe ni wa shetani kuvuna watu kama ugonjwa unavyofanya. Pia kwamba tayari dawa ya omicron inatengenezwa na B Gates
 
Endelea kutupa taarifa mkuu, tunakufuatilia kwa makini.

Achana na hawa wapuuzii wanaojibishana na wewe.
 
Mkuu naona hauna proof ya hoja yako. Ukipata proof nijulishe ili tuendelee na mjadala
Nilishasema kwamba I am connecting the dots,which is circumstancial evidence, ambayo hata mahakamani inakubalika.Anyway,thank you for the discussion and bye.
 
... cha kushangaza hapo nini? Mkuu Cvez hapo juu katuwekea nomenclature ya virus vya corona; they are named after Greek alphabets (at least for now); haihitajiki akili yoyote kujua next kitaitwa kwa jina gani. Ni sawa na vimbunga; jina la kimbunga kitakachotokea 2040 tayari lipo kwenye list. Let's be free minded badala ya kutekwa na propaganda uchwara!
Mtoa mada amekuwa akipinga sana chanjo za Corona na akimshambulia Bill Gates kwa kutumia rejea za 'conspirancy theorist' zisizoweza kuthibitishwa......ni vyema aandike kitabu/chapisho ili wataalamu wampe changamoto 'challenge'.
 
Boosthive is an online service that helps gamers advance in various games without risking their accounts or personal information. If you want to level up or unlock new characters quickly, you may use the services offered by Boosthive - Safe & Secure Boosting Market made by Pro's . Our trained bolsters are here to help you in-game at any time. We provide a wide range of services, from leveling help in World of Warcraft to boosting in popular games like D2 and Apex Legends. We guarantee the lowest prices in the industry, and our service will never fail you.
 
Mtoa mada amekuwa akipinga sana chanjo za Corona na akimshambulia Bill Gates kwa kutumia rejea za 'conspirancy theorist' zisizoweza kuthibitishwa......ni vyema aandike kitabu/chapisho ili wataalamu wampe changamoto 'challenge'.
Mkuu Proved sioni kwamba it is worthwhile kuandikia kitabu kitu hewa.Unajua,vitu fake huwa havidumu sana,baada ya muda mfupi tu vinahaulika.Upo wapi Ukimwi leo,it is almost gone,because it is fake.Likewise,C-19 will not survive the test of time,so there is no need to worry about it,the narrative will vanish in thin air in no time.

Halafuu,mimi kimsingi sipingi C-19,unapingaje kitu ambacho hakipo.Proved ni hivii,no scientific evidence has so far been brought forward showing that the C-19 virus really exists,not even the disease itself.The Powers To Be (TPTB)wana spread tu the fake information(udaku) using their MSM without evidence.Now because humanity has already been zombified wanaamini!Mimi ni a true scientist and independent mkuu,so I assess everything from a true scientific point of view.Nikuambie kitu Proved,hata wataalamu wa Afya wanakiri kwamba Ukimwi na C-19 ni politics,ila wanaogopa kusema kwa kuwa wanapenda vibarua vyao,nimeongea na wengi.
 
Good afternoon friends! Exploring Classic realms? WoWVendor has you covered for all versions – Season of Discovery, Wrath Classic, Hardcore, and more. Acquire gold hassle-free with their Dragonflight promo, offering extra perks. Make your WoW experience seamless and enjoyable with wowvendor comprehensive services like cheap wow sod gold, all at budget-friendly rates.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom