Tofautisha GMO na hybridKwani mbegu za asili uzisemazo zipo ? Huenda na Tz tayari maana almost mbegu zote ni kisasa karibia mazao yote
Kama James hardley chase...Believe this..., and you will Believe Anything.....
Na ndio maana serikali yetu ilipiga marufuku GMO, maana haziwezi kuzaa kizazi cha lili, yaani kila ukitaka kulima basi lazima uagize mbegu monsanto, tungekuwa watumwa wa chakula baada ya mbegu zetu za asili kuondoka, mfano South Africa wanaisoma namba kwa GMO seeds, ni watumwa..