Bill Gates Dirty Tricks in Burkina Faso and Nigeria

BenKaile

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
448
500
Yanayoendelea ulimwenguni unaweza kuhisi kuwa kifo ni swala la mzaha sana kwa binadamu wa leo. Damn! People are dying hopelessly and it's real, big time. Hakuna swala la kulilia Mungu, miungu or whatsoever, the power is in our own hands, feets and brain skills. SHAME UPON US!!
 

kiunzi

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
520
500
When you visit the cemeteries nowadays and read the dates and age of the burial marks many are below 30.

Life expectancy for Africans is dwindling rapidly.

We die young! Why ?

When I pick my mum to come to the city she always get sick ,but when she return to village gets well!

Our forefathers and grandmothers used to live longer,bu for us newly African generations that is merely a dream!

To reach 100yrs like our grandfathers is a dream,some die nowadays while sleeping!
 

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,083
2,000
Na ndio maana serikali yetu ilipiga marufuku GMO, maana haziwezi kuzaa kizazi cha lili, yaani kila ukitaka kulima basi lazima uagize mbegu monsanto, tungekuwa watumwa wa chakula baada ya mbegu zetu za asili kuondoka, mfano South Africa wanaisoma namba kwa GMO seeds, ni watumwa..
MKUU KIKWETE aliruhusu na kunasehemu zipo hizo GMO, umesahahu tuliopitisha seheria Bungeni kuruhusu hili?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom